[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao namba 2 ubaya wao wengi ni impostors at first sight.
Ukianzana nae anakuwa kama namba 1 ila mkishafika mbali sana anakuchenjia gia angani anaanza kuishi katika tabia zake halisi ambazo ni za namba 2!
Hapo ndio utajua hujui kudadadeki[emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Mimi sio muongeaji aiseee Ila huwa namsoma mtu anataka NiniHahahah bora umejisanua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila acheni hio michezo bana! We kuwa namba 2 tu ili mtu afanye maamuzi sahihi tu!
Eeh nafikiria ni approach nzuri zaidi, aoneshwe matokeo tu sio process maana anaweza kukukatisha tamaa.
Sasa nakuwa namba moja kweli Ila unakuta mtu anakulazimisha uhamie namba mbiliHahahah bora umejisanua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila acheni hio michezo bana! We kuwa namba 2 tu ili mtu afanye maamuzi sahihi tu!
Hapo hamna mtu ataacha vumilia, ila sio mambo ya makelele 😂😂😂Umeongea vizuri,kiume kabisa Kuna mtu I wish asome ,Mana anajuaga mke Ni msukule
Yani mwanaume ukiwa na hizi akili za huyu Kaka utaishi miaka mingi anaona changes kwa mkewe Ila anajuwa fika lazima iwe hivyo sababu ya majukumu na watoto kuongezeka .
Kunywa soda kwa mangi
Vile unakuta mtu anakupuuza, Kuna vitu vinapungua so naona km ananidharau kwa kuwa ni mkimya ,Basi naanza kuongeaHahahah hio tabia ya mwanamke akitaka lake (Mawindoni)!!! Akipata tu anahamia namba 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapeli tuu!!
Ni nini inakufanya uamie Line 2?
Unapiga chini hakuna kupelekeshanaHao namba 2 ubaya wao wengi ni impostors at first sight.
Ukianzana nae anakuwa kama namba 1 ila mkishafika mbali sana anakuchenjia gia angani anaanza kuishi katika tabia zake halisi ambazo ni za namba 2!
Hapo ndio utajua hujui kudadadeki[emoji23][emoji23][emoji23]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nkijibiwa fupi fupi natafuta angle inayomtouch mpaka atapiga simu au kuandika maelezo yanayoeleweka.Ina maana huoni kabisa hapo, wazee wa magazeti dawa yenu majibu mafupi mafupi tu. Ok!...Sawa!...Poa! huwa yanapendeza sana.
Weeee nani kasema niko no moja [emoji23][emoji23][emoji23]hahaaa upo namba 2 hapo my?
Huwezi kuwa zote, wewe ni 2 sema huwa unafake to impress 🤣🤣🤣
Hahahah una moods sana eeh, sasa itakuwaje kama unanuna muda mchache kabla ya mtanange wa Baba na Mama FC?Katika vitu nisivyoweza ni kuigiza.
Mimi shida inayonisumbua ni mood kubadilika kuna wakati nina furaha lkn mood ikichange napenda nikae tu pekeangu.😀
Hahahah una moods sana eeh, sasa itakuwaje kama unanuna muda mchache kabla ya mtanange wa Baba na Mama FC?
Kwahio mtu akitaka kuku comfort unamaindi au?
Kuigiza ni kipaji hata me cwezagi!Katika vitu nisivyoweza ni kuigiza.
Mimi shida inayonisumbua ni mood kubadilika kuna wakati nina furaha lkn mood ikichange napenda nikae tu pekeangu.[emoji3]