Yaani "unatoa pesa,Ili upate,baraka"!!
Hii Kali kweli kweli,HIV,Daimond,Eron musk,Dangote,walitoa wapi pesa mpaka na wao wakapata pesa?
Hizi akili hizi,yaani unaamini,Ili biashara yqko ikue,upate ajira,upate mume,mke,watoto wafaulu mitiani,upone magonjwa sugu,lazima utoe pesa kwanza kwa "nabii"?!!!!
Huu ujinga huu,utaua watu,wewe unapeleka watoto wako waombewe kwa Mwamposa,tajiri watoto wake,wapo wanachezea tablets,computer,wanaenda Nairobi kijifunza kurusha Ndege, wanaenda tours mbugani,unafikiri nani atakuwa Bora kwenye masomo?