Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Tapeli Mwamposa kazini, na watu wanakubali kutapeliwa kiurahisi kabisa.
 
Yaani "unatoa pesa,Ili upate,baraka"!!
Hii Kali kweli kweli,HIV,Daimond,Eron musk,Dangote,walitoa wapi pesa mpaka na wao wakapata pesa?
Hizi akili hizi,yaani unaamini,Ili biashara yqko ikue,upate ajira,upate mume,mke,watoto wafaulu mitiani,upone magonjwa sugu,lazima utoe pesa kwanza kwa "nabii"?!!!!
Huu ujinga huu,utaua watu,wewe unapeleka watoto wako waombewe kwa Mwamposa,tajiri watoto wake,wapo wanachezea tablets,computer,wanaenda Nairobi kijifunza kurusha Ndege, wanaenda tours mbugani,unafikiri nani atakuwa Bora kwenye masomo?
 
Watanzania wana matatizo sana, na wanadhani matatizo yao yataondolewa kwa wese na chumvi.
Basi nenda kawaondolee weww hayo matatizo..mana hata serikali yako ya ccm 60 years bado wanalia njaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kawasaidie basi wewe ambaye unaona hawako sawa...wivu wa kike huo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna watu mabwege hatari.
 
Wajinga ndio mliwao
 
Ningekuwa sina tofauti nao ningekuwepo kuungana na mafala wenzangu....
Mimi ni mwerevu ndugu yangu.
Utapeli wa namna hii ni ngumu kunipata....Mungu kanipa akili na katika hili namshukuru sana.
Ungekua mwerevu hata kwenye hii post ya mafala usinge changia..huna tofauti na na wewe kuna mahali ni fala kama mafala wengine.

Huna werevu wowote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa slogan ni VUKA NA CHAKO ule muda wa Sadaka ya KUJIMALIZA HADI NAULI waumini watabaki na nini
 
Ungekua mwerevu hata kwenye hii post ya mafala usinge changia..huna tofauti na na wewe kuna mahali ni fala kama mafala wengine.

Huna werevu wowote.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa heri endelea kuteseka.
Wacha tuendelee kulijenga Taifa la Mungu wa kweli, Mungu wa Isaka na Yakobo.
 
Wapo.Kongamano la Roman Catholic mkoa wa Dar uujaza huo uwanja.
Mkesha wa maombi wa makanisa ya kipentekoste uujaza huo uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…