Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Bwana Yesu asifiwe?

Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo mengine kwa uweza wa Bwana Yesu.

Nimeona nikuwekee tukio hili kwasababu siyo kongamano dogo, uwanja umejaa kabisa. Kongamano hili lipo live kupitia channel ya ARISE AND SHINE TV. Jiungamanishe nawe uvuke na chako.

=========

Mpaka saa 22:42 apostle Mwamposa alikuwa hajapanda kwenye madhabahu yaliyoandaliwa katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, ila kwaya na ahuhuda , sadaka na matangazo ya kawaida yalikuwa yanaendelea

======

23:10 Apostle Mwamposa aliwasili na kuanza ya Mkesha kwa kufugua na sala ya BABA YETU ULIYE MBINGUNI

View attachment 2449383View attachment 2449384View attachment 2449383
View attachment 2449385
YESU NI MUNGU

YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR

NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI



Cc Accumen Mo adriz Nahonyo battawi Covax Kikwajuni One Gavana
 
Nasikia watu wengine wamekuja Dar toka Butiama kumuona huyu Mwamposa. Marvels never cease!
 
YESU NI MUNGU

YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR

NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI



Cc Accumen Mo adriz Nahonyo battawi Covax Kikwajuni One Gavana
Akili huna , Mwenyezi Mungu ni mmoja muumba mbingu , Ardhi na vilivyomo na kila kitu huyo hawezi kuwa Yesu .

Yesu ni Nabii wa Allah aliyetumwa kwa haki na apewa Injili ambayo ilikuwa muongozo kwa watu wake, miujiza yote ya kuponya watu nk hakufanya ila kwa idhini ya Allah Mola mlezi wa viumbe vyote.
 
Huna hoja..wivu wa kike umekujaa..get a job...acha kujihangaisha na maisha ya watu ambao hawajawahi kuja kukuomba msaada.

#MaendeleoHayanaChama
majibu ya juha utayaona tu! tapeli linasema kesho njoo na makopo ya bia nitayaombea na kugeuka malori ya scania yenye teller , majuha kama wewe mnabeba makopo! Stupid!
 
uliko watu wote 65000 waliohudhuria pale?
yes, kama majitu yanaamini kuwa kuna maji ya upako yananunua maji ya uhai elfu tano half a litre, hayo si majuha kama wewe. nasikia kasema kila juha alete chupa ya fanta itageuka na kuwa gari ya Benz na majuha yatabeba kama wewe

back to the theme: Anyway, katika science hakuna wengi wape, hata mkienda milioni 100 as long as ni mjuha wingi wenu si hpoja
 
Kama inakuuma sana anzisha na wewe movement yako kuwakomboa hao unao ona wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
hao huwezi kuwakomboa akili zimekufa mwanzo mwisho! Bladifakeni mwamposa nenda ocean road cancer hospital ufanye miujiza watu waamke kwenye vitanda na kwenda nyumbani!
 
hao huwezi kuwakomboa akili zimekufa mwanzo mwisho! Bladifakeni mwamposa nenda ocean road cancer hospital ufanye miujiza watu waamke kwenye vitanda na kwenda nyumbani!
Unataka akamatwe, zile ni biashara za watu!
 
Back
Top Bottom