Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Daaah Watanzania bana😂😂Wenye akili tupo wachache sana unajua ugumu wa maisha nao unachangia huwez kukuta mtu na pesa zake yupo hapo,,,Aiseee jamaa anaijipigia ela balaaaa
Ugonjwa wa akili unakuwa zaid hivyo 😂😂😂
 
Nilishasema naamini katika Mungu namuomba natoa kwa wenye uhitaji ila sitoenda kwenye makanisa hadi wafute sadaka

Sadaka sio ya kanisa kasome Biblia vizuri. Sadaka ilianzia kwa mwanadamu kwa hiari yake na kumpa Mungu. Sadaka ni ya Mungu sio kanisa. Kuna principles za kutoa sadaka.
 
Natoa kwa wenye uhitaji hawezekani pastor awe tajiri kuliko waumini makanisa watu wanapishana kisa pesa no no no no
 
Sheikh kishk kajaza sana hadi wengine wanabaki nje
Naona kutakuwa na mashindano ya kidini sasa hivi kwani imewauma sana upande wa bi. Aisha kuona uwanja umejaa jana sasa wanakuja kujifariji "kwa sound" kama kawaida yao.
 
Ana mashindano yake ya kusoma qur an
Ok, Yale ya kimataifa? Kumbe mashindano? Ni nilijua anatoa muhadhara wa kiislamu ndio watu wanajaa hivyo. Sasa kulikuwa na lengo gani kusema Kishki anaujaza badala ya kusema mashindano ya quran ndio yanaujaza uwanja?
 
Yeye ndio muaandaaji? Hivi unafikiri nikiandaa mimi mashindano Yale nitaujaza? Ndiomaana kuna mtu kataja vinavyoujaza uwanja kawataja hadi Simba na Yanga.
 
Naona kutakuwa na mashindano ya kidini sasa hivi kwani imewauma sana upande wa bi. Aisha kuona uwanja umejaa jana sasa wanakuja kujifariji "kwa sound" kama kawaida yao.
Wewe ndio umechukulia kwa mlengo huo, nendeni mkapigwe ng'ombe nyie. Ndio maana huyo jamaa aliwaua huko Moshi kwa akili mgando kama hizi
 
Yeye ndio muaandaaji? Hivi unafikiri nikiandaa mimi mashindano Yale nitaujaza? Ndiomaana kuna mtu kataja vinavyoujaza uwanja kawataja hadi Simba na Yanga.
Mzee yale si ya kimataifa na kuna kamati ya maandalizi ya mashindano tena ya kimataifa? Hakukuwa na sababu ya kumtaja Kishki tena kwa "kusema Kishki anaujua" ungesema tu mashindano ya quran yanaujaza uwanja.😀😀😄😜😊😭
 
Nimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishk
 
Wewe ndio umechukulia kwa mlengo huo, nendeni mkapigwe ng'ombe nyie. Ndio maana huyo jamaa aliwaua huko Moshi kwa akili mgando kama hizi
Hahaaaaaa, kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi hii kisha relax wewe maamuma nilijua nia na lengo lako ndio maana umejaa upepo. Twende taratibu tu wala usiwe na Papara. Nieleze Kishki ameujazaje uwanja?
 
Nishaeleza kama uelewi basi sio jukumu langu
 
Nimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishk
Hahaaaaaa, nakuona juju wa maajuju unajaa upepo. Twende taratibu tu, nijifunze kitu toka kwako. Anaweza itisha muhadhara huyo shehe Kishki kwa huo ushawishi alionao pekee yake bila kushirikisha baraza la Maulamaa au bakwata na akaujaza huo uwanja?
 
Bila shida yoyote anaujaza, sio kama huyo hadi aweke na kwaya za wakata mauno
 
Bwana Yesu asifiwe?

Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka...

Rubbish. Yani ukiwa mcha Mungu ndo kufuatilia huu upuuzi?
 
Back
Top Bottom