Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ugonjwa wa akili unakuwa zaid hivyo πππDaaah Watanzania banaππWenye akili tupo wachache sana unajua ugumu wa maisha nao unachangia huwez kukuta mtu na pesa zake yupo hapo,,,Aiseee jamaa anaijipigia ela balaaaa
Ni huzuni kaka ila sio wa kuwalaumu mimi nina shida zangu lakin sijafika hatua ya kudanganywa kiivoπUgonjwa wa akili unakuwa zaid hivyo πππ
Nilishasema naamini katika Mungu namuomba natoa kwa wenye uhitaji ila sitoenda kwenye makanisa hadi wafute sadaka
Sheikh kishk kajaza sana hadi wengine wanabaki njePoleni na uchovu
Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanj...
Kishk nae huwa anaujazaWatanzania wanajaza uwanja Kwa Simba na Yanga, diamond,zuchu,mwamposa
Jana tulikua nae pale Masjid Mtoro kwenye Al jumaaSheikh kishk kajaza sana hadi wengine wanabaki nje
Huwa anaujaza akiwa anafanya nini huyo Kishki?Kishk nae huwa anaujaza
Natoa kwa wenye uhitaji hawezekani pastor awe tajiri kuliko waumini makanisa watu wanapishana kisa pesa no no no noSadaka sio ya kanisa kasome Biblia vizuri. Sadaka ilianzia kwa mwanadamu kwa hiari yake na kumpa Mungu. Sadaka ni ya Mungu sio kanisa. Kuna principles za kutoa sadaka.
Ana mashindano yake ya kusoma qur anHuwa anaujaza akiwa anafanya nini huyo Kishki?
Naona kutakuwa na mashindano ya kidini sasa hivi kwani imewauma sana upande wa bi. Aisha kuona uwanja umejaa jana sasa wanakuja kujifariji "kwa sound" kama kawaida yao.Sheikh kishk kajaza sana hadi wengine wanabaki nje
Ok, Yale ya kimataifa? Kumbe mashindano? Ni nilijua anatoa muhadhara wa kiislamu ndio watu wanajaa hivyo. Sasa kulikuwa na lengo gani kusema Kishki anaujaza badala ya kusema mashindano ya quran ndio yanaujaza uwanja?Ana mashindano yake ya kusoma qur an
Yeye ndio muaandaaji? Hivi unafikiri nikiandaa mimi mashindano Yale nitaujaza? Ndiomaana kuna mtu kataja vinavyoujaza uwanja kawataja hadi Simba na Yanga.Ok, Yale ya kimataifa? Kumbe mashindano? Ni nilijua anatoa muhadhara wa kiislamu ndio watu wanajaa hivyo. Sasa kulikuwa na lengo gani kusema Kishki anaujaza badala ya kusema mashindano ya quran ndio yanaujaza uwanja?
Wewe ndio umechukulia kwa mlengo huo, nendeni mkapigwe ng'ombe nyie. Ndio maana huyo jamaa aliwaua huko Moshi kwa akili mgando kama hiziNaona kutakuwa na mashindano ya kidini sasa hivi kwani imewauma sana upande wa bi. Aisha kuona uwanja umejaa jana sasa wanakuja kujifariji "kwa sound" kama kawaida yao.
Mzee yale si ya kimataifa na kuna kamati ya maandalizi ya mashindano tena ya kimataifa? Hakukuwa na sababu ya kumtaja Kishki tena kwa "kusema Kishki anaujua" ungesema tu mashindano ya quran yanaujaza uwanja.ππππππYeye ndio muaandaaji? Hivi unafikiri nikiandaa mimi mashindano Yale nitaujaza? Ndiomaana kuna mtu kataja vinavyoujaza uwanja kawataja hadi Simba na Yanga.
Nimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishkMzee yale si ya kimataifa na kuna kamati ya maandalizi ya mashindano tena ya kimataifa? Hakukuwa na sababu ya kumtaja Kishki tena kwa "kusema Kishki anaujua" ungesema tu mashindano ya quran yanaujaza uwanja.ππππππ
Hahaaaaaa, kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi hii kisha relax wewe maamuma nilijua nia na lengo lako ndio maana umejaa upepo. Twende taratibu tu wala usiwe na Papara. Nieleze Kishki ameujazaje uwanja?Wewe ndio umechukulia kwa mlengo huo, nendeni mkapigwe ng'ombe nyie. Ndio maana huyo jamaa aliwaua huko Moshi kwa akili mgando kama hizi
Nishaeleza kama uelewi basi sio jukumu languHahaaaaaa, kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi hii kisha relax wewe maamuma nilijua nia na lengo lako ndio maana umejaa upepo. Twende taratibu tu wala usiwe na Papara. Nieleze Kishki ameujazaje uwanja?
Hahaaaaaa, nakuona juju wa maajuju unajaa upepo. Twende taratibu tu, nijifunze kitu toka kwako. Anaweza itisha muhadhara huyo shehe Kishki kwa huo ushawishi alionao pekee yake bila kushirikisha baraza la Maulamaa au bakwata na akaujaza huo uwanja?Nimesema kishk kwakuwa najua ushawishi alionao kwa waislam wa tz? Sidhani kama Kuna sheikh mwingine tz afanye jambo kama lile ataweza ujaza uwanja wa mkapa na uhuru kwa pamoja, ndio maana kila yakifanikiwa Yale mashindano anapongezwa kishk
Bila shida yoyote anaujaza, sio kama huyo hadi aweke na kwaya za wakata maunoHahaaaaaa, nakuona juju wa maajuju unajaa upepo. Twende taratibu tu, nijifunze kitu toka kwako. Anaweza itisha muhadhara huyo shehe Kishki kwa huo ushawishi alionao pekee yake bila kushirikisha baraza la Maulamaa au bakwata na akaujaza huo uwanja?
Bwana Yesu asifiwe?
Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka...