Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
I love her too.I love akothee a lot aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love her too.I love akothee a lot aise
Exception hio babu,hospital will make a lot of cash from poor Burundian taxesKumbe inaruhusiwa?
Amini sources za wazungu basi, ambao wameconfirm hata kutoka huko burundi kwenyewe!Source NTV. ...
Nyie tulishawajua wazee wa kujifagilia na huku hamna lolote.
Kwa upande mmoja itakua poa kama atatibiwa na apone hadi aweze kurui kwao manake itakua diplomatic win... Tutaweza kupiga deal kadhaa na Burundi manake Rais wao atakua gratefull kwetu kwa kumpokea mkewe desite ban on all passenger flights..Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.
Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.
Pole kwa wale hawana uwezo huu.
=======
Denise Bucumi Nkurunziza, Burundi’s First Lady is currently admitted at The Aga Khan University Hospital, Nairobi after she reportedly contracted the novel Coronavirus.
Sources indicate that Mrs. Nkurunziza, was airlifted to Kenya’s Capital from Bujumbura on Thursday morning, flying in on an AMREF plane.
Her condition remains unknown.
Her husband, Pierre Nkurunziza was not in the flight and she was accompanied by three bodyguards one who has also tested positive.
It is not clear how she was allowed entry into Kenya since the country has set strict conditions only allowing those who test negative entry.
Mr. Nkurunziza has received global backlash for doing little to stop the spread of the disease that has shutdown the whole world.
Burundi earlier this month ordered the country’s top World Health Organization (WHO) representative and three other experts coordinating the novel coronavirus response to leave the country.
Burundi, through its foreign ministry in a letter dated May 12 said the four officials “are declared persona non grata and as such, must leave the territory of Burundi” by Friday.
Burundi is the only African country that did not stop playing of football during the coronavirus pandemic.
The country also recently held their presidential elections which saw the governing party candidate, retired General Evariste Ndayishimiye, win with 69 percent of the vote.
The main opposition party has filed a case in the country’s constitutional court challenging the presidential election result, claiming there is evidence of fraud.
Source: Citizen TV
Kwa upande mmoja itakua poa kama atatibiwa na apone hadi aweze kurui kwao manake itakua diplomatic win... Tutaweza kupiga deal kadhaa na Burundi manake Rais wao atakua gratefull kwetu kwa kumpokea mkewe desite ban on all passenger flights..
Lakini kwa upande mwengine itakua diplomatic nightmare akifariki huku kwetu, Nkurunziza atakua na hasira hatataka kuskia lolote kuhusu Kenya, tutakua persona non grata hata kama ni yeye mwenyewe ndo alikubali mkewe aletwe huku kwa matibabu zaidi
Siku hizi naona unapinga channel zako pendwa za mda mrefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, kama kawaida yenu kujisifu wakati hata kurekebisha pua ya Isack Ruto mlishindwa na kwenda South Afrika.
Huu ni uongo kama mlivyokua mkidanganya kwamba Kenya ina $Millionaires wengi kuliko Tanzania. Hawa waandishi wenu wa habari kwa muda mrefu wamekuwa wakiwadanganya ili mjione mpo juu wakati hamna lolote ninyi ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa Afrika.
Tunaomba ushahidi katika hili, angalau "main and credible media' zilizoandika kuhusu hii habari zaidi ya hiki kipeperushi. Huo ni uongo na uzushi mtupu, hakuna mke yeyote wa rais aliyeletwa Kenya.
Vp madereva wa Tanzania bado wanapimwa mpakaniHawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.
Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.
Pole kwa wale hawana uwezo huu.
=======
Denise Bucumi Nkurunziza, Burundi’s First Lady is currently admitted at The Aga Khan University Hospital, Nairobi after she reportedly contracted the novel Coronavirus.
Sources indicate that Mrs. Nkurunziza, was airlifted to Kenya’s Capital from Bujumbura on Thursday morning, flying in on an AMREF plane.
Her condition remains unknown.
Her husband, Pierre Nkurunziza was not in the flight and she was accompanied by three bodyguards one who has also tested positive.
It is not clear how she was allowed entry into Kenya since the country has set strict conditions only allowing those who test negative entry.
Mr. Nkurunziza has received global backlash for doing little to stop the spread of the disease that has shutdown the whole world.
Burundi earlier this month ordered the country’s top World Health Organization (WHO) representative and three other experts coordinating the novel coronavirus response to leave the country.
Burundi, through its foreign ministry in a letter dated May 12 said the four officials “are declared persona non grata and as such, must leave the territory of Burundi” by Friday.
Burundi is the only African country that did not stop playing of football during the coronavirus pandemic.
The country also recently held their presidential elections which saw the governing party candidate, retired General Evariste Ndayishimiye, win with 69 percent of the vote.
The main opposition party has filed a case in the country’s constitutional court challenging the presidential election result, claiming there is evidence of fraud.
Source: Citizen TV
Nihurumie mkuu jamani🤣🤣🤣🤣! Teh teh tehWengi walizalishwa na wanachadema wakatupwa, huku ndio wanaleta hasira.
Ni nini mnashindia Kenya kwa hizo vitu vyote umetaja?Sasa wewe ni kiazi kwelikweli kama si absurd...Hayo maelezo tu yameandikwa hatuoni data zozote kuwa included.Nilitegemea wangetuwekea vigezo kama vile;Number of qualified professionals kwa nchi husika au no of beds au vyovyote vile ili tuone Kenya kawaje mbele ya Egypt.
Sasa soma maelezo ya kila nchi hapo uone.Wameeleza nini cha kuweza kulinganisha?
Hii itakuwa imeandikwa na wapenda misifa wa kaskazini kwetu.
Define the word "fake"There is no message here but nonsense. It is fake
Hongereni Kenya kwa kumiliki hospital bora zaidi zenye huduma bora kwenye ukanda huu.👏👏👏Kaja kwa ndege ya AMREF ambayo ndio kazi yake kusafirisha wagonjwa ikiwa na madaktari humo, kile hatutaki ni makajamba kutuibukia kwa njaa zao hawataki wapimwe, wanang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu maisha yamewashinda kwao.
Mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima kisa umaskini na bado mnataka muingie kwenye nchi za watu.
Sasa si umeona umuhimu wa kurank mambo kwa kutumia takwimu...Kama hayo mambo yangekuwa clearly elaborated, wala usingeniuliza swali la hivyo,tungecheki maelezo ya hizo nchi zetu kwenye hiyo list.Sasa jibu la hilo swali lako tunalijuajeNi nini mnashindia Kenya kwa hizo vitu vyote umetaja?
Labda za Nairobi..,the rest nafuu hukuHongereni Kenya kwa kumiliki hospital bora zaidi zenye huduma bora kwenye ukanda huu.👏👏👏
Hao wazungu si ndo mabwana zenu wanaowatumikisha..kwani sisi hatuwajui kama ninyi ni puppets wa wazunguAmini sources za wazungu basi, ambao wameconfirm hata kutoka huko burundi kwenyewe!
Burundi first lady hospitalised in Nairobi: government sources
Burundi's first lady was in hospital in Nairobi on Friday, after being flown in on a late-night medical flight, according to sources at the airport and in the presidency.
First lady Denise Bucumi was flown out of Burundi on a Pilatus plane by the AMREF air ambulance service, according to a source at the Melchior Airport in Bujumbura.
A high-ranking government official, speaking on condition of anonymity, told AFP that Bucumi had gone to Nairobi "for treatment as she caught the coronavirus".
This was confirmed by a source in the presidency, also asking not to be named.
However a separate source in the presidency denied it and said she was going for an "endoscopic ulcer exam".
In Kenya, a source at the health ministry, requesting not to be named, said Bucumi had been admitted to hospital and was being treated with "complications of difficulty in breathing".
The source said a test had been done for COVID-19.
There has been no official comment on the health of the first lady.
Kenya's chief administrative secretary for the health ministry Mercy Mwangangi said she could not "confirm yes or no" if Bucumi was in the country receiving treatment for the coronavirus. (Afisaa wa serekali siku zote akisema I can neigther confirm nor deny, jua swali lililo ulizwa ni kweli, ni vile tu hataki kudhihirisha hadharani, manake kama angekua hakusafirishwa Nairobi huyo Mercy Mwangangi angekana la moja kwa moja, au angesema tu "I am not aware")
President Pierre Nkurunziza, a devout evangelical Christian, and his wife Denise, who is a pastor, have regularly played down the seriousness of the pandemic in their speeches and sermons.
Burundi is one of few countries in the region not to take action against the virus, and recently held general elections, with heaving crowds attending campaign rallies. Voting took place with scant attention paid to the outbreak.
Two weeks ago Burundi expelled the World Health Organisations (WHO) expert team backing the coronavirus response in the country.
On Thursday, during national prayers to thank God for the ruling party's victory in the election, Nkurunziza repeated claims that Burundi was saved from the virus due to "the hand of God".
"If all over the world we talk about the coronavirus pandemic, but we were able to gather without any problem, hold an electoral campaign without any problem, send our children to school and go to the market without worries .... it is the hand of God which shows he has placed a special sign above our Burundi," he said.
"Look here, is anyone wearing a mask?" he asked the packed crowd.
Nkurunziza will be leaving office after 15 years and his handpicked heir Evariste Ndayishimiye was declared the winner of the election.
Burundi has officially reported 42 cases and one death, in statistics not updated since May 17.
However doctors in Bujumbura speaking to AFP on condition of anonymity say many cases and deaths are going unreported.
Hivi Kenya wana dawa ya COVID 19?Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.
Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.
Pole kwa wale hawana uwezo huu.
=======
Denise Bucumi Nkurunziza, Burundi’s First Lady is currently admitted at The Aga Khan University Hospital, Nairobi after she reportedly contracted the novel Coronavirus.
Sources indicate that Mrs. Nkurunziza, was airlifted to Kenya’s Capital from Bujumbura on Thursday morning, flying in on an AMREF plane.
Her condition remains unknown.
Her husband, Pierre Nkurunziza was not in the flight and she was accompanied by three bodyguards one who has also tested positive.
It is not clear how she was allowed entry into Kenya since the country has set strict conditions only allowing those who test negative entry.
Mr. Nkurunziza has received global backlash for doing little to stop the spread of the disease that has shutdown the whole world.
Burundi earlier this month ordered the country’s top World Health Organization (WHO) representative and three other experts coordinating the novel coronavirus response to leave the country.
Burundi, through its foreign ministry in a letter dated May 12 said the four officials “are declared persona non grata and as such, must leave the territory of Burundi” by Friday.
Burundi is the only African country that did not stop playing of football during the coronavirus pandemic.
The country also recently held their presidential elections which saw the governing party candidate, retired General Evariste Ndayishimiye, win with 69 percent of the vote.
The main opposition party has filed a case in the country’s constitutional court challenging the presidential election result, claiming there is evidence of fraud.
Source: Citizen TV
Mbona kuchukia Wakenya hivi ni Kama walikulia mkeo?
Anko Mbona ka umeanza taarabu.... Nn shida mkuu au unakahasira? Kunywa glass ya maji baridi hasira zitashuka.. Thank m later.Kaja kwa ndege ya AMREF ambayo ndio kazi yake kusafirisha wagonjwa ikiwa na madaktari humo, kile hatutaki ni makajamba kutuibukia kwa njaa zao hawataki wapimwe, wanang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu maisha yamewashinda kwao.
Mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima kisa umaskini na bado mnataka muingie kwenye nchi za watu.
Hahahaha, kama kawaida yenu kujisifu wakati hata kurekebisha pua ya Isack Ruto mlishindwa na kwenda South Afrika.
Huu ni uongo kama mlivyokua mkidanganya kwamba Kenya ina $Millionaires wengi kuliko Tanzania. Hawa waandishi wenu wa habari kwa muda mrefu wamekuwa wakiwadanganya ili mjione mpo juu wakati hamna lolote ninyi ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa Afrika.
Tunaomba ushahidi katika hili, angalau "main and credible media' zilizoandika kuhusu hii habari zaidi ya hiki kipeperushi. Huo ni uongo na uzushi mtupu, hakuna mke yeyote wa rais aliyeletwa Kenya.
Uongo,nchi zenye huduma bora kusini mwa jangwa la sahara ni Tanzania na afrika kusini hata wakenya wengi huwa wanakuja tz kutibiwa.