Mkidharauliwa na ndugu huwa mnachukua hatua gani?

Huoni kwamba ataongeza tatizo hapo nyumbani kwao kwa kuonekana kachanganyikiwa kwa kukosa ajira?Na hana mamlaka ya kumfukuza mtu.Hapo ni kwao wote.Yaani ni kwa wazazi/ndugu.Aishi hapo nyumbani kwa akili nyingi na utulivu.
Yeah! Ni kweli cha msingi hapo asiwe na mazoea sana na huyo mdogo wake, apambane atoke nyumbani aka hustle.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Niliweke vizuri hapo ulipoeleza "asiweke mazoea sana"!Ni vema akawa na mipaka ya maongezi na huyo mdogo wake ila asimchukie wala kuonesha chuki.Akionesha upendo na uvumilivu anapooneshwa chuki,mwenye kumfanyia chuki atashindwa na kulegea.Atajiona anapiga kofi upepo.
 
Morning wapendwa,

Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.

Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.

Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.

Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao ,nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu,ungekuwa wewe ungefanyaje.
Achana naye, usiumie.
 
Ukiwa mkubwa lazima uwe mvumilivu, wanasemaga waswahili ukubwa jalala, ila usioneshe kufadhaishwa jikaze ukionesha unafadhaika utakielea hicho kiburi cha mdogo wako.

Pili jitie moyo msapoti huyo mdogo wako kwa vitu vidogovidogo usijiweke katika mashindano nae

Halafu shirikisha wazazi

Nimewahi pitia hayo na attitude hjyo ilinifanya wakanithamini na tukawa na umoja na wananiheshimu kama kaka Yao.
 
Sasa mkuu hapo si ni nyumbani kwenu wote?
Inakuaje sasa dogo anaficha sabuni na sukari halafu usijue mahali alipoficha?

Na ukimuuliza kwanini anaficha hivyo vitu anakujibuje?
 
Morning wapendwa,

Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.

Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, na kila akirudi likizo namchambulia nguo ambazo sizivai,yani ananinunia huku kakobeka nguo nilizompaga uko nyuma,na muangalia simmalizi dogo,nawaza nikipata kazi nimgawie zote zilizobaki Mimi nianze upya,bado anasoma najua anaweza akabanwa na ratiba za kununua nguo,kama mnavyojua wazazi Mara nyingi wanakupa ada na ela ya kula, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.

Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.

Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao ,nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu,ungekuwa wewe ungefanyaje.
Unalazimisha undugu 😂😂
 
Huyo ni dogo wako. Mkalishe mwambie uliyosema hapa. Asipoelewa asije kukulaumu huko mbeleni.
 
Usikubali Mtu akadharau ujana wako.
Usiwe na mazoea yaliyopitiliza,
Usipende kukaa kinyonge.
Usiwe mtu usiye na Plan B ili usidharaulike,
Ondoka nyumbani

Ni kawaida kudharauliwa kama hauna unachozalisha, wanakuona mzigo
 
Morning wapendwa,

Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.

Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, na kila akirudi likizo namchambulia nguo ambazo sizivai,yani ananinunia huku kakobeka nguo nilizompaga uko nyuma,na muangalia simmalizi dogo,nawaza nikipata kazi nimgawie zote zilizobaki Mimi nianze upya,bado anasoma najua anaweza akabanwa na ratiba za kununua nguo,kama mnavyojua wazazi Mara nyingi wanakupa ada na ela ya kula, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.

Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.

Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao ,nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu,ungekuwa wewe ungefanyaje.
Usipo kuwa na hela au kazi ya kukupa kipata sio ndugu zako tu wanakudharau hata Paka au Mbwa wanakufokea bila sababu hii ndio Dunia nakupa principle moja muhimu ukiishika hii utafanikiwa
(Be self-fish and help yourself before others).
 
Dawa ya moto ni moto,,ukiendekeza upole dunia hii utateseka..ww kama kaka simamia ukaka wako yy ndo anapaswa akuheshimu and not otherwise. Piga kimya na siku asipoacha msosi tandika makofi chukua nguo zako na kila ulichompa yy si kiburi bwana
 
Ukute dodo anabeba ma vyuma pande la jibaba alafu kaka mfupi mwembamba
 
Namuulizaje mtu tumenuniana,ata before ya kuanza kununa anaficha panaweza pakawa ni nyumbani na usijue mtu kitu kakiweka wapi.umezoea kitu kukiona mezani,gafla unaona hakikai tena pale unakitafuta haukioni utaanza kuuliza,mtu unaamua kukaa kimya tu
Sasa kama hukioni ndio anakuwa ameficha yeye!?
 
Morning wapendwa,

Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.

Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, na kila akirudi likizo namchambulia nguo ambazo sizivai,yani ananinunia huku kakobeka nguo nilizompaga uko nyuma,na muangalia simmalizi dogo,nawaza nikipata kazi nimgawie zote zilizobaki Mimi nianze upya,bado anasoma najua anaweza akabanwa na ratiba za kununua nguo,kama mnavyojua wazazi Mara nyingi wanakupa ada na ela ya kula, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.

Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.

Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao ,nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu,ungekuwa wewe ungefanyaje.
Mtu akikudharau nawe una mdharau twice.
 
Back
Top Bottom