Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 597
- 955
Karibu dar mkuuNdio umenifananisha mkuu Dar sijawai ishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu dar mkuuNdio umenifananisha mkuu Dar sijawai ishi
Asante sana mkuuKaribu dar mkuu
Ni kweli ila kama ulikuwa unawapa akaleta dharau maana huna hatoachwa kapa mie siwezi kumdharau ndugu yangu aliyenisaidia hata kama hana ndugu yangu wa damu au wakufikia siwezagi au rafiki siwezi namuheshimi.Morning wapendwa,
Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.
Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, na kila akirudi likizo namchambulia nguo ambazo sizivai,yani ananinunia huku kakobeka nguo nilizompaga uko nyuma,na muangalia simmalizi dogo,nawaza nikipata kazi nimgawie zote zilizobaki Mimi nianze upya,bado anasoma najua anaweza akabanwa na ratiba za kununua nguo,kama mnavyojua wazazi Mara nyingi wanakupa ada na ela ya kula, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.
Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.
Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao ,nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu,ungekuwa wewe ungefanyaje.
Mkuu elekeza vizuri Je unaishi na wazazi wote wawili? Na je huyo mdogo mpaka kufikia kuficha chakula inamaana yeye ni mpishi hapo nyumbani kama kijana inamaana yeye muda wote yupo Nyumba tu hatoki kwenda kushinda kwa washikaji zake kupiga stori, kama mama yako yupo basi yeye ndiyo mpanga mipango yote huyo mdogo wako ni mtekelezaji , kwasababu kama mtoto wakiume haiwezekani akaingia jikoni kuficha chakula wakati Mama yako yupo.Morning wapendwa,
Hivi kwa mfano haujaanza maisha kutokana labda na kusoma upo nyumbani unasubiri matokeo yako ili uendelee kuangalia mikakati mingine ya kimaisha hapo nyumbani unaishi na ndugu na wadogo zako baada ya muda wadogo zako wanaanza kukudharau, mfano kuna dogo hapa home kaninunua mwezi wa tatu sasa bila sababu yeyote ile kuna mda anaimba nyimbo za mafumbo na kuziimbisha akijisikia.
Dogo anasoma chuo veta yupo likizo, iko chuo nilimtafutia mwenyewe, na kila akirudi likizo namchambulia nguo ambazo sizivai,yani ananinunia huku kakobeka nguo nilizompaga uko nyuma, na muangalia simmalizi dogo,nawaza nikipata kazi nimgawie zote zilizobaki Mimi nianze upya
Bado anasoma najua anaweza akabanwa na ratiba za kununua nguo,kama mnavyojua wazazi Mara nyingi wanakupa ada na ela ya kula, lakini Leo ananidharau, na ana kazi ya kuficha vitu Mara afiche sabuni Mara sukari Mara mboga, chakula kikibaki anakubali kumpa mtu wa baki lakini anajua Mimi bado sijala, ananiharibu kisaikolojia siku nikipata kazi nikimuoneshea roho ngumu atasema kaka hanisaidii au atasemaje kutokana na izi tabia anazonioneshea saizi.
Na mda najishusha namchukulia kama dogo kama kumpa nilichonacho, lakini bado anaendelea na ratiba zake zile zile za kujinunisha, nakaaga nawaza siku Mungu akinisaidia kupata ajira au kuwa na kipato chochote kitakacho niingizia ela nije nimsaidie ata mahitaji ya shule lakini naona ananitengenezea mazingira ya kumchukia na kutotaka kumsaidia huko mbeleni kutokana na kiburi na jeuri zake.
Kuna mda napata hasira nasema akijaribu kunijibu chochote namkata vibao, nimeamini usipokuwa na ela ata ndugu yako wa damu anakuchukia tu bila sababu, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mkuu kwani mahitaji ya hapo nyumbani ana gharamaia yeye? Au wameshoka na tabia zako hufanyi kazi zozote unaishi kama wewe ndiyo Baba mwenye mji? Kila kitu unataka ufanyiwe wewe kazi ni kula na kuondoka kwenda kupiga stori vijiweni ikifika muda wa kula unaenda kula na kusepa, cha muhimu jitahidi kupunguza kutegemea mahitaji ya nyumbani kwenu.Namfukuzaje mdogo angu wakati wote tupo kwa wazazi tu hapa
Ni kweli mkuu akipata mishe ya 5000 kwa siku itakuwa poa na tena siku ya jpili anunue mbuzi choma na ndizi akale nyumbani tena akitaka kula ale na mdogo wake anae mpenda ambaye hamfichii vitu, na yule anaye mfichia vitu na chakula hasimpe tena wake mbele yake, na siku nyingine anunue chips na kuku na mayai tena na juice kubwa tena ale mbele ya huyo dogo.Tafuta mishe ya kuingiza hata 5000 kwa siku
Mkuu hiyo familia itakuwa haina kichwa cha familia na Mama hayupo naamini Mama hawezi kumfichia mtoto wake chakula.Sasa mkuu hapo si ni nyumbani kwenu wote?
Inakuaje sasa dogo anaficha sabuni na sukari halafu usijue mahali alipoficha?
Na ukimuuliza kwanini anaficha hivyo vitu anakujibuje?
Nini kilikukimbiza hadi uindoke na nguo moja tuOndoka hapo haraka Sana .. kapange ..kasake life nje ya hapo ...
Nliondoka home Kama utani na nguo nilizovaa pekee , simu yangu na akili zangu.. niliacha kila kitu since 2017 mpaka leo naendaga kusalimia tuu ..
Wala sikukimbizwa .. maneno yalizidi By mda huo nlikuwa ndo nimemaliza shule .. Asubuhi natoka naingia kwenye mihangaiko kupanga paving slabs nakutana na KAZI nje ya mji ya kukaa for months alafu nipo site naambiwa huna haha ya kwenda home ikawa ntolee ... Nlivyorudi sikuwa na interest na home .. Nikaanza kuishi magetoni ..Nini kilikukimbiza hadi uindoke na nguo moja tu
Hongera sana Mkuu,Wengine toka kidato cha nne hatupajui home.😀😀😀Wala sikukimbizwa .. maneno yalizidi By mda huo nlikuwa ndo nimemaliza shule .. Asubuhi natoka naingia kwenye mihangaiko kupanga paving slabs nakutana na KAZI nje ya mji ya kukaa for months alafu nipo site naambiwa huna haha ya kwenda home ikawa ntolee ... Nlivyorudi sikuwa na interest na home .. Nikaanza kuishi magetoni ..
For a year alafu nikapanga mimi kama mimi .. Leo nipo border Fulani hivi naweka mambo fresh huku niende ng'ambo ...
I remember I told my mum and my grandma I'll never Look back .. walinipa baraka zote Ni kuchanja tuuu Mbuga
Wewe kaka weweHama hapo kwenu, halafu kama huyo dogo wako ni wakike mpelekee moto mtie mimba ataacha dharau.