Nini kimetokea mkuuJamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....
Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola
Kapicha hata ka kwa mbali hamna mkuu?? any way first comment!!Jamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....
Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola
njoo uchukue mkuu ila jiandae kisaikolojiaNipe usafiri
Hii stori ya kutungaJamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....
Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola ila kuna mtu hana meno na marinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umechelewa hiyo siti ya mtu
Ndo hivyo sasa majirani ahsubuh wanakusaidiaKwa hiyo tuache gym? Gym na ngono vitu viwili tofauti,,
Gym kwanza mbunyeee ni sumu ya kujenga mwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapicha hata kakuibia ibiaNdo hivyo sasa majirani ahsubuh wanakusaidia
Punguza hasira kwanzaUsitishe watu hapa. Kwanza hakuna mjinga wa aina hiyo. Unaenda kwa watu saa 12 asubuhi ati kajifunga taulo. Alidhani bafuni?? Ukitufunga kamba hakikisha si manila kwani huteleza ikajifungua yenyewe.