Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Jamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....
Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola ila kuna mtu hana meno na marinda