Mkienda Gym ahsubuh malizeni ya ndani kwanza jamani... jamaa kafumania jirani yake na kitaulo kisa Gym

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Jamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....

Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....

Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola ila kuna mtu hana meno na marinda
 
Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola
Nini kimetokea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapicha hata ka kwa mbali hamna mkuu?? any way first comment!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kila siku annaaamka saa Kumi na mbili kasoro na kwenda gym kutafuta uimara wa mwili....
Akitoka tu Jirani anafungua mlango anazama kuchapua Tonkito...
Anaichapaa hadi saa mbili kasoro afu anarudi kwake .....

Jamaa kumbe alitonywa na wazalendo wa tonkito za watu basi ndo hivyo leo kaenda chocho mara akaona njemba inaingia na taulo.....

Aisee kilichotokea sitaki kuwa shahidi kwa vijana wa lugola ila kuna mtu hana meno na marinda
Hii stori ya kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta basi kapicha muda watu mnakuwa macho au hakukua na umeme [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] huyo hakuwa na mke?sipati pic baadaya mlango kugongwa[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitishe watu hapa. Kwanza hakuna mjinga wa aina hiyo. Unaenda kwa watu saa 12 asubuhi ati kajifunga taulo. Alidhani bafuni?? Ukitufunga kamba hakikisha si manila kwani huteleza ikajifungua yenyewe.
Punguza hasira kwanza

Hizo ni nyumba za kupanga na mechi inapigwa nusu saa tu

Afu ndoa inalindwa alfajiri sio saa mbili usiku
Sasa wewe endelea kwenda jimu bila kupiga deki ukipigiwa uslalam
 
Back
Top Bottom