Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba.
UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo.
Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine.
Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua kungonoka watangonoka bila kupeana malipo.
Kama kila mkikutana na mpenzi wako lazima utoe pesa hapo nakuchana ukweli huyo si mpenzi wako. Ni kahaba anayejiuza, atakuuzia wewe atamuuzia fulani n.k, n.k
Akikuita mpenzi mpige ngumi ya sikio au ya puani.
Mkikutana usipompa pesa hamuelewani lugha , huyo ni kahaba. Kahaba malaya anayejiuza