Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Hapo umejitahidi kuolozesha wachuuzi
 
Hapo umejitahidi kuolozesha wachuuzi
silvester koka mbunge wa kibaha mjini ana viwanda na makampuni zaidi ya ishirini ni mchuuzi kaajiri watu 2700 kapewa cheti na tra kama mlipa kodi mzuri na mkubwa tz
Alyoce kimbori naye mchuuzi anakiwanda cha rising china kawa
lekundayo mwenye kiwanda cha mbezi tiles toka mwaka 70 na mchuuzi
hillary shoo kiwanda cha maji ya hill,hill packages, hill feeds nay mchuuz
ford mushi kiwanda cha homebase eletronics naye mchuuzi
mr uk kiwanda mr uk eletronics naye mchuuzi
kimaro wa k-vant anauza kenya na congo naye mchuuz
 
ntaendelea
 
Hizo tu hata wakinga wanazo😊😊😁
 
Wakinga wajanja, wanashirikiana sana na kuonyeshana siri ya biashara wao kwa wao, watu kama huyu mtoa mada wachoyo unakuta anaenda juu lakini kuna sehemu atapotea, sababu mambo yanabadilika kwa kasi na unaendelea na formula ile ile.
Kuna namna mtoa mada inaonekana amekwama katika bahari ya kuwaza, huenda nae kapiga techs za waganga kadhaa zikakwama.
 
Superiority complex, tribalism perception. Kila kabila lina tajiri naweza kusema hivyo, ila kuna zone wanatoka wengi kwa sababu mbalimbali za kijiographia, kufika kwa maarifa, n.k
Wapo wakinga hata huko katika makampuni
 
Unaleta mashindano ya makabila, Mimi sio mkinga lakini hawa jamaa wanastahili heko wana kasi kubwa sana kwa takribani miaka 10 sasa.
Na issue sio uchawi, jamaa wanasaidiana sana katika mambo ya msingi kama taarifa na mini cha kufanya, mtaji kwao inakuja baadae.
Na kuna wakinga masikini kama kulivyo na wachaga masikini Moshi hiyo hiyo huko huko alipojenga Mengi hekalu lake. Note: Nchi pia bado ni masikini
 
Wakinga wanamsemo 'tunza pesa' hivyo kwa mtu anayejishughulisha lakini hapati mafanikio haraka wanadai kuwa 'hajui kutunza pesa'. Pia wakinga ni bahiri, hivyo hawana matumizi yasiyoratibika. Kwakuwa huwa wana malengo ya kufikia hatua Fulani katika biashara zao. Hayo mi mambo pia ya kujifunza nje ya Imani zisizoonekana kwa macho ya kawaida!
 
Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.


Basi tukubaliane kuwa itakuwa ni nguvu za Giza jumlisha nidhamu ya matumizi ya pesa.

Ingekuwa nguvu za Giza tu basi maeneo yote ambayo yanasifika
Kwa uchawi kama vile Bagamoyo, Tanga, Kigoma, Rukwa/sumbawanga, Ukerewe, gambushi n.k basi makabila ya huko wangekuwa nao wameinuka kibiashara lakini thubutu yao [emoji108][emoji108]

Ni kwamba kuna zaidi ya uchawi na ushirikina kwa hao jamaa!
 
Kwanza jamaa ni wabahili sana yote hiyo ni sehemu ya nidhamu ya matumizi!

Waulize wanawake iwapo walipata mabwana wa Kikinga kama wanakata pesa kirahisirahisi!
 
Hizo tu hata wakinga wanazo😊😊😁
kuna mkinga kama micheal shirima mwenye the second largest airline in market share na number flightes route in country accortding to tanzania airport authoriy,majorty shareholder tanzania oxgen gas,tbl, 5% shares of I&M Bank na states za kahawa uko meru
kuna mkinga kama Hans macha mwenye 1.5% ya shares za crdb ambazo thaman yake ni tsh billion 11 zenye return ya 2 billion tsh annually 7% ya maendeleo bank,mahotel dar na arusha na maduka ya fedha
kuna mkinga kama elisante elikana muro mwenye kiwanda cha mbezi tiles na kisarawe bricks na mradi oil refinery uko kwenye pipeline
samuel lema wa northern engineering works ltd ina ofis kenya arusha malawi dar mbeya moshi anajenga minara ya cm anafanya services fibre installation anajenga sever za makampun kama tigo voda nokia halotel semens nk
Godwin makyao wa marktech returns yake kwa mwaka ni sawa na wakinga wote wakiungana
 
Tupo bila kutumia Id za hapa jf kuna watu ambao hata usinge pata nafasi ya kuzungumza nao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umeongea sana ila nakwambia kuna wakinga wanapesa hatari sema ni watu wa kujificha tu

Yaani unazungumzia viwanda? Uliza china tu hapo utaambiwa
 
Umeongea sana ila nakwambia kuna wakinga wanapesa hatari sema ni watu wa kujificha tu

Yaani unazungumzia viwanda? Uliza china tu hapo utaambiwa
mjomba mkinga mwenye kiwanda china ni kodtech tu
wachaggaa
ford mushi =homebase eletronics
alyoce kimbori=rising eletronics
mr uk
momburi= kiwanda cha mabengi
saroi= kiwanda cha yebo yebo
aloyce kessy kiwanda cha rim
alltop eletronics mchina na mchagga
mohammed lema =dekla fan,milango ya chuma
Mmalya na mchina= seapiano subwofer and other elronics
 
Umeongea sana ila nakwambia kuna wakinga wanapesa hatari sema ni watu wa kujificha tu

Yaani unazungumzia viwanda? Uliza china tu hapo utaambiwa
Why aulize china ..wakat ww upo na unawafaham ..wataje ..acha ushabiki na porojo zisizo na msingi
 
Duh kwa hiyo kuna kitu jamaa wanakifanya ili kuvutia wateja.
 

Naomba kufahamu ilo duka la kavishe liko kkoo maeneo yapi, ni ule mtaa zinapopaki daladala za gerezani sinza kupitia manzese.

Ziada anauza mmama au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…