Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Nguvu za giza ni za wakinga tu?Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.
Je wazungu wakina Benzos, Billgate na wengine?
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu za giza ni za wakinga tu?Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.
Wabongo tunajua kupigana kamba sana.Nguvu za giza ni za wakinga tu?
Je wazungu wakina Benzos, Billgate na wengine?
#YNWA
Acha kutudanganya mkuu.
Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.
Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??
Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.
Stori za kuvuta muda tu hizi.
Hakuna kitu kama hicho.Kaka matajili wa ki kinga ni wengi shida ni huwa hawapendi kujulikana
Mkinga yeyote tajiri muulize kama anamjua “MWAKIPANDE”?mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.
Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda Cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅
usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
Aisee inawezekana kuna Dada mmoja aliolewa na Muha, huyo Dada alikua vizuri sana kimaisha na Muha alikua choka mbaya ila cha kushangaza baada ya kumuoa tu maisha yakabadilika na Muha akawa super star na utajiri ukawa umekubali! Kilichotokea huyu Dada alikimbia nyumba ya ghorofa na magari alikua anaona mauzauza kwenye nyumba kila kukicha, mara damu kwenye chupa kwenye suruali ya mumewe (Muha), wakati wakimaliza tendo la ndoa Muha alifuta mbegu anaweka kwenye begi! Cha kushangaza Muha huyu alipata msiba wa Mama yake Mzazi akiwa safarini hakuhudhuria msiba kabisa (Mama yake alifariki ghafla na kila mtu alishangaa kifo cha Mama huyu). Shortly baadhi ya Waha wako tayari kufanya lolote ili tu apate utajiri.Kabxaaa mkuuu..waha si wa mchezo mchezo...yaan hata kama kafunga duka unakuta wateja wameweka folen wanamsubiri...jichanganye ufungue duka jiran yake....atasafir kwenda kigoma...ndan ya wk moja....kirud na ww muda huo utakuwa unatafuta gar ya kuja kuhamisha vitu
Wakinga wamezidi wewe hao ulitaja ni kik maana wachga aslimia 90 viduka vidogo kaangalie wakinga no wachache sana ila moto wao ni balaa asilimia kubwa wanamiliki biashara kubwaHe Mkinga tena.....Kafanyaje.?
Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! 😅😅
Hujanielewa ndugu.Kama huna Discipline kamwe hautafanikiwa kwenye biashara.
Wakinga wengi ni watu wa kujinyima sana na wanaheshimu sana kazi.
Milioni mia ni sawa na dola elfu 50 sasa mtu unakusanya dola elfu 50 kwa miaka mitatu??Wakinga wamezidi wewe hao ulitaja ni kik maana wachga aslimia 90 viduka vidogo kaangalie wakinga no wachache sana ila moto wao ni balaa asilimia kubwa wanamiliki biashara kubwa
Wachaga ni mazoea kwamba Wana damu ila inafahamika biashara zao wale madon wengi ni madini tunajua faida ya madini trip moja pesa ndefu
Njoo wakinga anaanza kama machinga kuweka akiba ya elfu 5 Kwa siku ila miakam mitatu unaambiwa ana mtaji wa million 100
Pesa za mapakaKaka matajili wa ki kinga ni wengi shida ni huwa hawapendi kujulikana
Matendo ya kishetani kwa dhumuni la kupata utajirim sio tu kwenye kumtoa kafara mama yako bali kitendo tu Cha nafsi yako kuwa radhi kufanya jambo lolote litakalokuwezesha kupata pesa tayari automatic kinakutoa katika ubinadamu na kuingia katika ushetani............Hivi huu ushetani ni Africa tu au mpaka kwa kina Bill gate.
Kwamba Benzos kamtoa kafara baba ake au mama ake?
#YNWA
Acha nicheke kwanza Usiongee tu kwa kuropoka wewe nan aliekwanbia Moshi kuna machimbo ya dhahabu kama ilivyo kwa kahama,arusha na geita? Kikubwa kinachowasaidia pia wachaga wanarithishana utajiri kama ilivyo kwa wahindi na waarabu na pia discipline ya pesa,ndo mana mchaga yuko radhi akupe gari,nyumba au chakula kizuri ila anaogopa sana kukupa hela nyingi.Lakini pia umoja waliotengeneza kila mikoa ya kusaidiana na kuwekeza hyo inakua inatengeneza kama passion na spirit ya ukiona ww hujatoboa unaona umechelewa kabisa Hyo tu ndo inayofanya kunakuwa na matycoon wadogo na wakubwa na wala sio bla blaWakinga wamezidi wewe hao ulitaja ni kik maana wachga aslimia 90 viduka vidogo kaangalie wakinga no wachache sana ila moto wao ni balaa asilimia kubwa wanamiliki biashara kubwa
Wachaga ni mazoea kwamba Wana damu ila inafahamika biashara zao wale madon wengi ni madini tunajua faida ya madini trip moja pesa ndefu
Njoo wakinga anaanza kama machinga kuweka akiba ya elfu 5 Kwa siku ila miakam mitatu unaambiwa ana mtaji wa million 100
Sasa waha mbona choka mbaya tuNenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
Wanakuwa na maduka makubwa halafu wanaishi maisha ya kujinyima hata kula!....kila siku dukani hamna hata muda wa kufurahia maisha!faida ya kuwa na hela ipo wapi sasa!?Kwa hiyo makabila yote Tanzania,Wakinga ndio wawe pekee.Wakinga wengi wanatumia nguvu za Giza.
Sasa kujinyima kama una hela ni sifal!?...kama wasukuma anakuwa na ng'ombe 1000 hamna kuchinja labda iumwe tena sana kazi ni kuchunga tu ss hizo ni akili au takatakaKama huna Discipline kamwe hautafanikiwa kwenye biashara.
Wakinga wengi ni watu wa kujinyima sana na wanaheshimu sana kazi.
Achana na orodha ya matajiri duniani nipe top ten ya matajiri wa bongo kama kuna mkinga au mchagaWabongo tunajua kupigana kamba sana.
Mbona kwenye orodha ya matajiri duniani hakuna mchaga wala mkinga.
Yaani wanatutambia maduka tu ya kuuza bidhaa toka china, sujui maji, pipi , nguo, viberiti.
Hakuna mwenye kiwanda hata cha sindano halafu unajiita tajiri.
Bure kabisa.
Punguza fikra mbovu.Matendo ya kishetani kwa dhumuni la kupata utajirim sio tu kwenye kumtoa kafara mama yako bali kitendo tu Cha nafsi yako kuwa radhi kufanya jambo lolote litakalokuwezesha kupata pesa tayari automatic kinakutoa katika ubinadamu na kuingia katika ushetani............
Elfu 5 kwa siku mara miaka 3 milioni 100 okey ndugu mchangiajiWakinga wamezidi wewe hao ulitaja ni kik maana wachga aslimia 90 viduka vidogo kaangalie wakinga no wachache sana ila moto wao ni balaa asilimia kubwa wanamiliki biashara kubwa
Wachaga ni mazoea kwamba Wana damu ila inafahamika biashara zao wale madon wengi ni madini tunajua faida ya madini trip moja pesa ndefu
Njoo wakinga anaanza kama machinga kuweka akiba ya elfu 5 Kwa siku ila miakam mitatu unaambiwa ana mtaji wa million 100