Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usi sahau backup wakinga wakiwa mjini uwa Wana acha miti wakiyumba izauzwa kuja kuendelezea biashara.Bila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.
Ila kwa vile wakinga na wachagga huwa wanarithishana elimu ya nidhamu katika biashara kwa wingi zaidi ndio maana unaona wanafanikiwa zaidi.
Ingekuwa hivyo afrika tungeongoza dunia kwa uchumi.. jamaa huwa wananidhamu ya biashara na hawapendi makuu hata wakiwa pesa huwezi juaKuna mstari mwembamba sana kati ya pesa na ushetani...
The longest comment ever read from youMafanikio makubwa ya ghafla yana siri kubwa sana...
Benki gani hapa Tanzania wanatoa mkopo kirahisi hivyo?.acha uvivu tafuta ardhi andaa mchanganuo wa biashara nenda benki kakope fedha ufanye biashara
Labda benki ya babu yake CHAMASON-MORISON-SAKHOSON maana katoa hija rahisi kweliBenki gani hapa Tanzania wanatoa mkopo kirahisi hivyo?.
HakunaBenki gani hapa Tanzania wanatoa mkopo kirahisi hivyo?.
mtazamaji ataona ni mafanikio ya ghafla. Ila mfanikiwaji ndie anaujua umbali halisi wa safari.Mafanikio makubwa ya ghafla yana siri kubwa sana...
Je biashara zao huwa zidumuAcha kutudanganya mkuu.
Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.
Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??
Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.
Stori za kuvuta muda tu hizi.
Benki nako wana mahitaji yao. Mchanganuo bila kitu cha kuweka dharna na wala huna business financial report hupati mkopo.acha uvivu tafuta ardhi andaa mchanganuo wa biashara nenda benki kakope fedha ufanye biashara
Wakinga wamezidi wewe hao ulitaja ni kik maana wachga aslimia 90 viduka vidogo kaangalie wakinga no wachache sana ila moto wao ni balaa asilimia kubwa wanamiliki biashara kubwa
Wachaga ni mazoea kwamba Wana damu ila inafahamika biashara zao wale madon wengi ni madini tunajua faida ya madini trip moja pesa ndefu
Njoo wakinga anaanza kama machinga kuweka akiba ya elfu 5 Kwa siku ila miakam mitatu unaambiwa ana mtaji wa million 100
Wa Tanzania hatujui utajiri nini na Nani no tajiri Yani ukiwa mchuuzi unaitwa tajiriWabongo tunajua kupigana kamba sana.
Mbona kwenye orodha ya matajiri duniani hakuna mchaga wala mkinga.
Yaani wanatutambia maduka tu ya kuuza bidhaa toka china, sujui maji, pipi , nguo, viberiti.
Hakuna mwenye kiwanda hata cha sindano halafu unajiita tajiri.
Bure kabisa.
Acha ubishi basi. Wakinga hawafanyii biashara Njombe pekee. Wameitawala Karikakoo na Mwanjelwa.
Wazawa wengi ni wachuuzi wa bidhaa tu na siyo matajiri maana hatu zalishi bidhaa hatumiliki viwanda mfano viwanda vya saruji, nondo, rangi, mabati, viyoo, vifaa vya umeme, migodi , juice, sabuni, nguo.kwaiyo Sisi wa Tanzainia kwenye uchumi bado wanyonge uchumi wa nchi umeshikwa na wachina wahindi na waarabu. Sisi wazawa tumebakia kuwa wachuuzi wa bidhaa tu ndiyo akili yetu ilipo tuHakuna kitu kama hicho.
Kujimwambafai tu. Hamna lolote. Nioneshe kiwanda kimoja tu cha mkinga kinachotengeneza bidhaa maarufu inayouzika hapa Africa Mashariki. Hakuna.
Acha ubishi basi. Wakinga hawafanyii biashara Njombe pekee. Wameitawala Karikakoo na Mwanjelwa.
Sawa sawa..miti ndio inayowatoa wakingawakinga ni walimaji wakubwa wa miti.na unajua miti inachukua mda mrefu.ndio maana unaweza kuona katajirika fasta