jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nieleweshe hapa?..napataje hela bank kwa kupitia ardhi.acha uvivu tafuta ardhi andaa mchanganuo wa biashara nenda benki kakope fedha ufanye biashara
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nieleweshe hapa?..napataje hela bank kwa kupitia ardhi.acha uvivu tafuta ardhi andaa mchanganuo wa biashara nenda benki kakope fedha ufanye biashara
Kwa iyo watu wapige pasi ndefu ili wawe matajiriHuwezi kuwa tajiri kama utaendekeza tabia ya kula mchana
Lipia TANGAZOmkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.
Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda Cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
Picha iko wapimkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.
Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda Cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
nenda bank watakueleza zaidi sina muda wa kuandika magazetiNieleweshe hapa?..napataje hela bank kwa kupitia ardhi.
#MaendeleoHayanaChama
dhamana si ardhi? au dhamana kwako mpaka iwe gari?Benki nako wana mahitaji yao. Mchanganuo bila kitu cha kuweka dharna na wala huna business financial report hupati mkopo.
jaribu kutembelea benki zote ukaombe taratibu za kukopa kama mjasiriamali mdogoBenki gani hapa Tanzania wanatoa mkopo kirahisi hivyo?.
Ntafutie mkinga mwenye hisa kubwa kwenye benki kubwa(individually),nitajie mtanzania mweusi anaeongoza kwa kulipa kodi(kama ni mkinga),nitajie mkinga anaemiliki hisa kubwa kwenye kampuni ya ndege,nitajie mkinga anaemiliki kiwanda kikubwa ,nitajie hata kwa historia mkinga aliewai kutokea kwenye top ten ya wenye pesa bongo hata top thirty ......ukiniuliza kwa wachaga ntakutajia wote mkuu.....level waliopo wakinga sasa hivi wachaga waliipita miaka ya 80 kwenda 90Bro [emoji1787]nitajie ukoo unaingia pale top 20 Wacha kukariri maisha biashara za uchuuzi ngumu kuendeleza kama ukoo zaidi mtaingizana katika Ajira Kwa vyeti feki na upendeleo muwe middle class income earners ila sio mtajiri kama waarabu na typically ya wakinga
Haya wacha washindane nani muuzaji mzuri wa viberiti na nguo za wachina.Wewe unazungumzia ''duniani'' wakati wenzako wako kwenye ligi za mchangani!
Ona ulivyokuwa mshamba Kwa kuangalia ndugu zako walipowekeza be smart enough nakupa home work na ukoo wako nitajie tajiri wa kichaga aliye hai aliepo top 20 ya mtajiri tanzania ukileta nakufa hapa hata miaka kumi mbele haitokei nasuburi mark my wordsNtafutie mkinga mwenye hisa kubwa kwenye benki kubwa(individually),nitajie mtanzania mweusi anaeongoza kwa kulipa kodi(kama ni mkinga),nitajie mkinga anaemiliki hisa kubwa kwenye kampuni ya ndege,nitajie mkinga anaemiliki kiwanda kikubwa ,nitajie hata kwa historia mkinga aliewai kutokea kwenye top ten ya wenye pesa bongo hata top thirty ......ukiniuliza kwa wachaga ntakutajia wote mkuu.....level waliopo wakinga sasa hivi wachaga waliipita miaka ya 80 kwenda 90
Eti kiwanda unajua unasikia toka hapa 🤣🤣🤣mitambo ya gongo labda uchuuzi huo na kuwa vibaraka wenye viwanda wako nje leta hapa kweny list Kwa aliye hai akiwa top 20 Kwa pesa gani toa ushamba tembea uone eti hisa wapi we akili ndo imefikia mwisho mwenzio vunjabei anaingia mikataba ya kusupply jersey we una viji hisa ambavyo ni tangile huelewi lin utavuna washamba was mwisho kuweka hisa au Treasury bond ni kufailNtafutie mkinga mwenye hisa kubwa kwenye benki kubwa(individually),nitajie mtanzania mweusi anaeongoza kwa kulipa kodi(kama ni mkinga),nitajie mkinga anaemiliki hisa kubwa kwenye kampuni ya ndege,nitajie mkinga anaemiliki kiwanda kikubwa ,nitajie hata kwa historia mkinga aliewai kutokea kwenye top ten ya wenye pesa bongo hata top thirty ......ukiniuliza kwa wachaga ntakutajia wote mkuu.....level waliopo wakinga sasa hivi wachaga waliipita miaka ya 80 kwenda 90
Umeshindwa kunijibu kwanini nikujibu ....subiria jogoo atafune punje za mahindiOna ulivyokuwa mshamba Kwa kuangalia ndugu zako walipowekeza be smart enough nakupa home work na ukoo wako nitajie tajiri wa kichaga aliye hai aliepo top 20 ya mtajiri tanzania ukileta nakufa hapa hata miaka kumi mbele haitokei nasuburi mark my words
Hisa ni ushamba na defensive mechanism Kwa matajiri wa bongo hawana upeo nitafutie jibi hapo hisa bongo unaumwa kweli eti shirika la ndege kula ndizi utulie
Bro hao wachaga hawana inspirational yeyote Ile Kwa vile wewe bado akili changa sana kuujua ulimwengu hujui biashara unapenda uuchuuzi wa viduka njaa na kuuza kitimoto
Kwa akili yako tumia akili Wacha kelele wachaga ni wachuuzi asilimia kubwa na ni kabila kubwa Kwa idadi ya watu unasema sijui nairobi nimefika kote nadhani hunijui 🤣🤣mi mtu wa wapi wa nn kule zaidi ya kuuza mirungi na kupitisha magendo holili na tarakea
Ukimtoa mengi kweny Ile list Tena alibahatisha niambie ni koo gani inaingia top 20 ya mtajiri bongo inatokea huko uchagani na wingi wao wengi .na Ile list hayupo Tena maana alibahatisha kuwa pale mali zishaaanza kuliwa kaone wakina mo wanaendeleza biashara za mababu zao wanamaintain
Tanzania nyote wachuuzi hamna biashara kumilimi maassets mwisho yankuwa liability katika uendeshaji Kwa vile mising yetu sio imara ya ubunifu SEMA tunaendesha Kwa nguvu za mtu
Sasa njoo tuhesabu kwa umri mdogo mpaka miak 40 angalia top Ten ya matajiri bongo wafanyabiashara hao wachaga wako wangapi
[emoji848][emoji848]Kuna mstari mwembamba sana kati ya pesa na ushetani...
Teh..teh ...eti anajipongeza kwa kunywa soda mbili? Umetisha Sana mkuuHe Mkinga tena.....Kafanyaje.?
Mbona Biashara Zina Principle Zake..! Ukikiuka Principle Lazima Ufeli?
Ndo maana Wanafanikiwa ...
Wapare..
Wachaga...
Waha...
Wapemba...
N.k.
Fata Misingi tu ya Biashara Utafanikiwa,
Sio Wewe Ukiuza Kreti Moja La Soda Unajipongeza Kwa Kunywa Soda 2 ushaingilia Mtaji...! [emoji28][emoji28]
Sasa unalazimisha watu wafuate mbona mmeshindwa kuingia 20 Kwa aliye hai 🤣🤣🤣Umeshindwa kunijibu kwanini nikujibu ....subiria jogoo atafune punje za mahindi
Kama hawapo ni wewe na umaskini wako ndo unawaona Wana pesa viongozi wapi huyo kimei kasema ni watu wa magendo wapi wamesema ushazoea kutunga story tunaongelea uhalisia😄😄😄
Viongozi wa kitaifa na matajiri ndio watakuambia Wachaga ni kina Nani lakini kapuku hawawezi kuwaelewa.
Uliza watu wazima hasa Baba yako atakuambia Wachaga ni kina Nani, maana naona unaongea vitu Kwa upeo Mdogo.
Au kamuukize JPM au Nyerere watakuambia,
ndo umaskini unaanziaga hapaaaaa!! shetani yeye aliumbwa na nani???? hizi Dini hizi??....mwenzako anajua mitaaa ya mbinguni wewe je?Kuna mstari mwembamba sana kati ya pesa na ushetani...
Hao jamaa hawana maajabu kabisa.Nenda Kariakoo ukawajue vizuri sio unakaa tu Sitimbi huko, hujui kinachoendelea duniani.. Mkinga ni habari nyingine
Nakubaliana na wewe. Yaani wengi NI kama madalali kwa niaba ya China, uturuki, India, Japan n.kWabongo tunajua kupigana kamba sana.
Mbona kwenye orodha ya matajiri duniani hakuna mchaga wala mkinga.
Yaani wanatutambia maduka tu ya kuuza bidhaa toka china, sujui maji, pipi , nguo, viberiti.
Hakuna mwenye kiwanda hata cha sindano halafu unajiita tajiri.
Bure kabisa.