Nan asiyejua hisa mm hata umlete professor Nampa logic wewe bado sana hats huko kwenu hakuna wakunidanganya hakuna mtanzania anamiliki ndege nimekuuliza pale top 20 yupo unaruka jibu swali
Hisa hata yule jamaa wa forex wa huko uchagni alisema ana hisa katika mabus Fulani kumbe hamna kitu hata gari Hana yeye
Hisa ni uwekezaji na umiliki wa asilimia Fulani katika biashara Fulani unakuwa unanunua Kwa thamani walizoweka Ili ikifika asilimia 100 wanakuwa washapata Ile capital ya uwekezeji the same na asilimia ya hisa uliyowekeza dividend kweny profits unagawiwa kutoka na asilimia ulizowekeza yaani Ile faida iliyopatika inategemea na makubaliano ya gawanyo labda kwa mwaka
Hisa zipo nyingi zinazouzwa katika initial stage na nyingine zinauzwa kutokana na watu kuuza au kujitoa katika biashara