Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Mimi nimekuambia Wachaga wanamiliki Mpaka makampuni ya Ndege nikakutajia Precious airlines na Fastjet, wewe ndio umeleta mambo ya Hisa.

Sasa nikakuuliza unajua maana ya hisa kwenye Kampuni au shirika?
Unaingea ujinga Kwa vile huelwei unatetea ujinga nimekuambia swali he pale top 20 kwa idadi Yao walivyowengi ukimtoa aliyekufa mengi he Nan yupo unaruka mara biashara ya ndege mara ushuzi gani tulia jibu hamna basi ni wachuuzi unakataa 🤣🤣🤣unasema Wana hisa sijui wapi mara wanamiliki ndege yaani umiliki kampuni ya ndege usiingie top 20 basi Haina faida hyo business

Unaelewa uchuuzi lakini au upewe Kuna waarabu wa ratco ni wachuuzi wanasema zile gari ni zao wa hisa aslimia 100 wao kwa wao kumbe ni wachuuzi boss ni ridhiwani kikwete
 
😀😀😀

Tatizo lako ni umasikini. Alafu unataka upambane na watu wasio level yako, mara maprofesa mara Wachaga 😄😄

Wewe Kama hujui hisa ni nini sidhani Kama unauwezo wa kuchangia mambo ya uchumi na biashara hasa zile kubwa kubwa

Mtu akishamiliki biashara Kwa zaidi ya 60% hiyo Kampuni ni yake😀😀

Wewe unasoma Sisi wenzako tunafanya hicho unachosoma😄😄😄
Ushahidi wapi mbona unaleta source zq kutunga kama story zako

Mi sio maskini 🤣🤣🤣kiasi Cha wewe kunishinda alhamdullah Bado sana kijana endelea kutunga tutakuungisha kununua vitabu
 
Umegoogle umekosa mmiliki unaleta nyuzi zq kutunga
 
Unaingea ujinga Kwa vile huelwei unatetea ujinga nimekuambia swali he pale top 20 kwa idadi Yao walivyowengi ukimtoa aliyekufa mengi he Nan yupo unaruka mara biashara ya ndege mara ushuzi gani tulia jibu hamna basi ni wachuuzi unakataa 🤣🤣🤣unasema Wana hisa sijui wapi mara wanamiliki ndege yaani umiliki kampuni ya ndege usiingie top 20 basi Haina faida hyo business

Unaelewa uchuuzi lakini au upewe Kuna waarabu wa ratco ni wachuuzi wanasema zile gari ni zao wa hisa aslimia 100 wao kwa wao kumbe ni wachuuzi boss ni ridhiwani kikwete

Kwa hiyo Kwa akili yako Mabasi Kama Kilimanjaro express, marangu, Mtei, BM coach, Kimotco, Machame, Lim Safari, n.k Wachaga wanafanya uchuuzi WA gari hizo🤣🤣

Na kwenye Ndege pia nilizokutajia wanafanya uchuuzi.

Hii ndio shida ya kuzaliwa masikini
 
Ushahidi wapi mbona unaleta source zq kutunga kama story zako

Mi sio maskini 🤣🤣🤣kiasi Cha wewe kunishinda alhamdullah Bado sana kijana endelea kutunga tutakuungisha kununua vitabu

Ungekuwa sio masikini usingeshindwa kujua Jambo dogo Kama hilo.

Umasikini unaanzia kichwani.

Wewe kisa unawaona Wachaga baadhi wakifanya uchuuzi unafikiri Wachaga wote wapo hivyo.

Ndio maana nikakuambia wewe bado Sana.

Kwenye hii nchi Wakinga bado Sana, wakinga level Yao ni Waha. Lakini hata Kwa Wasukuma Wakinga hawatoboi, Wahaya, wanyakyusa, Wamasai

Unapozungumzia biashara usidhani ni biashara moja tuu ya pale Kariakoo 😄😄😄

Ndio tatizo la kutokutembea
 
Kwa hiyo Kwa akili yako Mabasi Kama Kilimanjaro express, marangu, Mtei, BM coach, Kimotco, Machame, Lim Safari, n.k Wachaga wanafanya uchuuzi WA gari hizo🤣🤣

Na kwenye Ndege pia nilizokutajia wanafanya uchuuzi.

Hii ndio shida ya kuzaliwa masikini
Unanielewa lakini 🤣🤣🤣 nimekupa mfano umiliki ndege then ukose top 20 ni ujinga basi biashara Hain faida basi ni pesa ya madafu level za kina diamond

Naongelea matajiri hapa sio vibiashara njaa top 20 haingii Tena bongo hapa
 
Top 20 nimekuambia hata hao Wakinga hawapo,

Tatizo unaleta ubishi badala ya kujadiliana ili kujifunza.

Nimekuambia wewe sio mchaga wala Mimi sio mchaga.

Ila hawa wenzetu Wachaga Kama unafuatilia biashara nyingi hapa nchini wapo karibu kila sekta.

Hao wakinga bado Sana, labda wapo kwenye sekta tano tuu,
Hata hivyo bado wanajitahidi kuja vizuri.

Wewe unaleta Ligi za vijiweni.

Level za Wachaga ni wahaya, Wasukuma, Wanyakyusa, Na baadhi ya watu wa Pwani wenye ukaribu na Waarabu
 
Unanielewa lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekupa mfano umiliki ndege then ukose top 20 ni ujinga basi biashara Hain faida basi ni pesa ya madafu level za kina diamond

Naongelea matajiri hapa sio vibiashara njaa top 20 haingii Tena bongo hapa
Tuanzie hapo kwa shirima
Screenshot_20220505-092251.jpg
 
Ungekuwa sio masikini usingeshindwa kujua Jambo dogo Kama hilo.

Umasikini unaanzia kichwani.

Wewe kisa unawaona Wachaga baadhi wakifanya uchuuzi unafikiri Wachaga wote wapo hivyo.

Ndio maana nikakuambia wewe bado Sana.

Kwenye hii nchi Wakinga bado Sana, wakinga level Yao ni Waha. Lakini hata Kwa Wasukuma Wakinga hawatoboi, Wahaya, wanyakyusa, Wamasai

Unapozungumzia biashara usidhani ni biashara moja tuu ya pale Kariakoo 😄😄😄

Ndio tatizo la kutokutembea
Unaruka na unatakq kumaliza mada mapema nakuleta Hana nakuonyesha kwamba hata debate hujawai kushiriki ulikimbia

Point yangu note wachaga ni kabila kubwa Tz unatakiwa ujue ufanyaji biashara ni kawaida Yao ambazo nilikuambia aslimi 90 ni wachuuzi unatakiwa ubishe
Wale madon ambao ni mabillionaire wanafanya ishu kama za Madini na aliyefika mbali zaidi ni mengi jua kwanza ndo kawatambulisha rasmi

Wakinga ni wachache sana ki idadi na hawana umaarufu hata kihistoria ni ngumu kuwasoma lakini Hawa vijana wanaonekana wengi wanafanya biashara kubwa na kuja Kwa Kasi mno watu waliokaa nao wanajua wengine wanasema uchawi ila sijui juu Yao

Mkoa ninao niliowai kukaa wachaga wanafanya biashara viduka kibao ila wa kwanza mpaka mtu wa nne kihistoria sio wachaga kwa pesa ila maduka ni Yao ni mengi Kwa tafita hawana biashara kubwa ila hulka ya maisha Yao kufanya biashara

Unganisha dots hapo ndo unakuja Kuta wakinga ni moto japo wachache na wanaendelea sana umeona unakuja kuruka mara wanamiliki ndege mara ivi tunaongelea pesa haijalishi umepata Kwa biashara Gani
 
Hiyo top 20 wapo Wachaga wengi tuu, sema hata nikisema niwataje utaendeleza ubishi wako.

Utajiri unaanzia kwenye wingi wa watu kumbe hata Hilo hulijui🤣🤣🤣

Hujui Utajiri WA Kwanza ni Watu, kisha Ardhi, yaani wewe ni bure kabisa.

Ndio maana nikakuambia kuna mambo bado huyajui.

Hao wahindi, waarabu, ni wengi Duniani angalia wanaijeria, wamarekani, wachina,
Kwa bongo angalia Wasukuma, Wachaga, wahaya, wanyakyusa.
Sijui Kama unaelewa hata maana ya Utajiri.

Kwenye orodha ya Top 20 huwezi kuacha mtu anaitwa
8. MICHAEL SHIRIMA

Read More at mwangazanews.com/top-10-ya-matajiri-tanzania-2020/ © MWANGAZA NEWS
 
Milioni mia ni sawa na dola elfu 50 sasa mtu unakusanya dola elfu 50 kwa miaka mitatu??

Mbona mnatutania aisee.
Sio lazima 5000 uwe unaelewa mambo
Anamaanisha kunapesa ana save kwenye sale za kwaajili ya capital
 
Unaruka na unatakq kumaliza mada mapema nakuleta Hana nakuonyesha kwamba hata debate hujawai kushiriki ulikimbia

Point yangu note wachaga ni kabila kubwa Tz unatakiwa ujue ufanyaji biashara ni kawaida Yao ambazo nilikuambia aslimi 90 ni wachuuzi unatakiwa ubishe
Wale madon ambao ni mabillionaire wanafanya ishu kama za Madini na aliyefika mbali zaidi ni mengi jua kwanza ndo kawatambulisha rasmi

Wakinga ni wachache sana ki idadi na hawana umaarufu hata kihistoria ni ngumu kuwasoma lakini Hawa vijana wanaonekana wengi wanafanya biashara kubwa na kuja Kwa Kasi mno watu waliokaa nao wanajua wengine wanasema uchawi ila sijui juu Yao

Mkoa ninao niliowai kukaa wachaga wanafanya biashara viduka kibao ila wa kwanza mpaka mtu wa nne kihistoria sio wachaga kwa pesa ila maduka ni Yao ni mengi Kwa tafita hawana biashara kubwa ila hulka ya maisha Yao kufanya biashara

Unganisha dots hapo ndo unakuja Kuta wakinga ni moto japo wachache na wanaendelea sana umeona unakuja kuruka mara wanamiliki ndege mara ivi tunaongelea pesa haijalishi umepata Kwa biashara Gani
Soma jina no kumi 10 mimi nataka unitajie ma big boys wa kikinga
Screenshot_20220505-093342.jpg
 
Kuna kingine unachohitaji huyu ndo mlipa kodi top hakosi top 5 tanzania bado upo
Screenshot_20220505-093733.jpg
 
Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

Nitafutie mkinga mkuu ila usisahau kunitajia wachaga walioko humu
 
😄😄😄

Viongozi wa kitaifa na matajiri ndio watakuambia Wachaga ni kina Nani lakini kapuku hawawezi kuwaelewa.

Uliza watu wazima hasa Baba yako atakuambia Wachaga ni kina Nani, maana naona unaongea vitu Kwa upeo Mdogo.

Au kamuukize JPM au Nyerere watakuambia,
Bahati mbaya umekuna na wakinga ambao hawajui kujisifu kazi yao ni vitendo tu
 
Bro hao wachaga hawana inspirational yeyote Ile Kwa vile wewe bado akili changa sana kuujua ulimwengu hujui biashara unapenda uuchuuzi wa viduka njaa na kuuza kitimoto

Kwa akili yako tumia akili Wacha kelele wachaga ni wachuuzi asilimia kubwa na ni kabila kubwa Kwa idadi ya watu unasema sijui nairobi nimefika kote nadhani hunijui 🤣🤣mi mtu wa wapi wa nn kule zaidi ya kuuza mirungi na kupitisha magendo holili na tarakea

Ukimtoa mengi kweny Ile list Tena alibahatisha niambie ni koo gani inaingia top 20 ya mtajiri bongo inatokea huko uchagani na wingi wao wengi .na Ile list hayupo Tena maana alibahatisha kuwa pale mali zishaaanza kuliwa kaone wakina mo wanaendeleza biashara za mababu zao wanamaintain

Tanzania nyote wachuuzi hamna biashara kumilimi maassets mwisho yankuwa liability katika uendeshaji Kwa vile mising yetu sio imara ya ubunifu SEMA tunaendesha Kwa nguvu za mtu

Sasa njoo tuhesabu kwa umri mdogo mpaka miak 40 angalia top Ten ya matajiri bongo wafanyabiashara hao wachaga wako wangapi

Bahati mbaya umekuna na wakinga ambao hawajui kujisifu kazi yao ni vitendo tu

Wakinga bado hawajafika level ya kujisifu bado wako chini huko.

Huwezi jisifu Kama huna cha kujisifia.

Huoni wahaya unafikiri wanajisifu Bure😀😀
 
Unajua kujisifu na showoff ni tabia za maeneo nipo kaskazini zaidi ya miaka 8 watu wa huku wanatabia ya kujiona bora hata kwenye vitu ambavyo hawana

Ila watu wa nyanda za juu kusini hawana tibia za hivyo ni vitendo tu
 
Back
Top Bottom