Unafikiri kufanya biashara tuu Kariakoo ndio kuwa na pesa😀😀
Nchi hii ni kubwa na biashara zipo nyingi Sana,
Kitu pekee ambacho wakinga wanacho ambacho ni kizuri ni uchapakazi, hawana majivuno, ubahili, lakini kuwafikia wachagga bado Sana.
Wachaga ni kabila kubwa saizi yake ni Wasukuma au Wahaya.
Wachaga wapo makundi kadhaa
1. Wapo masikini Sana
2. Wapo Daraja la Kati
3. Wapo Daraja la juu.
Kwenye shughuli za uzalishaji wamegawanyika pia;
1. Wapo wachuuzi
2. Wapo wamiliki wa makampuni Makubwa
3. Wapo wamiliki wa Huduma za kijamii Kama Vyombo vya usafiri Kama mabasi, Ndege, shule, vyuo, Hospitali kubwa, vyombo vya habari, redio na magazetu
4. Wapo Wakulima mpaka huko njombe wanamiliki mashamba makubwa ya maparachichi, 5. Wamiliki wa migodi huko Arusha, shinyanga.
6. Wapo Majambazi na wezi