Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:-
i, Polisi
iii, JWTZ
iii, JKT
Nyongeza waalimu

Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu.

Huwa nacheka pale vyama vya upinzani vinavyopo aminishana kuwa uchaguzi huu mara huu CCM hatoki hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu.
 
Hahaha
 
Kwa heshima ya JWTZ na JKT. Hao watu waweke pembeni, mara nyingi hawahusiki

Ila hawa wa polisi wanahusika na mengi, including indirect association with politics kama sio chama tawala
 
Jkt na jwtz watoe kwenye upuuzi huo ... Hapo ongelea wapuuzi polisi na kada ya watu wapumbavu na wajinga wa mwisho Nchini WALIM. Uchaguzi wa 2020 nilikuwa sehemu ya,nilichokiona nikajiapiza siku nikipanga foleni kupiga kura basi nitakuwa na watu jasiri wenzangu tutakaolinda na kuzisimamia hizo kura, nje hapo ni upotevu wa muda.
 
Anamaanisha kuwa jwtz na jkt kuwa inatolewa amri kuwa wote wampigie kula rais anaetoka ccm kutokana na uwingi wao
Wala.

"hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".

Kweli wananchi wa hii nchi wapo gizani sana
 
Watu wengine bhanaaaa, sijui huwa wanavuta bangi za wap......Kwa hiyo umeamua kutulisha mashudu mchana mchana.
 
Jkt na jwtz watoe kwenye upuuzi huo ... Hapo ongelea wapuuzi polisi na kada ya watu wapumbavu na wajinga wa mwisho Nchi WALIM. Uchaguzi wa 2020 nilikuwa sehemu ya nilichokiona nikajiapiza siku nikipanga foleni kupiga kura basi nitakuwa na watu jasiri wenzangu tutakaolinda na kuzisimamia hizo kura, nje hapo ni upotevu wa mumuda.
Usicho kijua ni sawa na usiku wa giza

"hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".
 
Usicho kijua ni sawa na usiku wa giza

"hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".
Jwtz au jkt wanasimamia uchaguzi?, Umewahi kuwakuta vituo vya kupigia kura?...... Hawa tuwawalaum kwa ukimya wao huku wakiwa na jukumu la kulinda na kusimamia rasilimal zetu.. wamemuachia Bibi tozo auze Nchi yetu kijinga!!. Ila la uchaguzi hawahusikii.
 
Back
Top Bottom