Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

Jwtz au jkt wanasimamia uchaguzi?, Umewahi kuwakuta vituo vya kupigia kura?...... Hawa tuwawalaum kwa ukimya wao huku wakiwa na jukumu la kulinda na kusimamia rasilimal zetu.. wamemuachia Bibi tozo auze Nchi yetu kijinga!!. Ila la uchaguzi hawahusikii.
Unachekesha sana pia unasikitisha sana pole.

Hii nchi kweli wananchi wake bado vipofu kabisa.
 
I second you mtoa madam, hao wote wanahusika nawashangaa wanaosema watoe jwtz na jkt, they are part of it as mtoa madam explained
 
I second you mtoa madam, hao wote wanahusika nawashangaa wanaosema watoe jwtz na jkt, they are part of it as mtoa madam explained
Wengi hawafahamu halisi huwa ipo vipi.

Polisi hufahamika zaidi kwa sababu vyombo vya habari ndivyo huwamulika zaidi.
 
Walimu wanalazimishwa kujaza form na kubadili matokeo ukikataa unabadilishwa kituo cha kazi
Huko ni uongo,walimu wanasimamia tu wakishatoa matokeo wanakabidhi wanaondoka,mengine mnawasingizia tu.
 
Kwa heshima ya JWTZ na JKT. Hao watu waweke pembeni, mara nyingi hawahusiki

Ila hawa wa polisi wanahusika na mengi, including indirect association with politics kama sio chama tawala
IMG-20240814-WA0001.jpg
 
Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:-
i, Polisi
iii, JWTZ
iii, JKT
Nyongeza waalimu

Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu.

Huwa nacheka pale vyama vya upinzani vinavyopo aminishana kuwa uchaguzi huu mara huu CCM hatoki hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu.
Wasubiri Kikokotoo! Watajuta kufanya dhuruma malipo ni hapahapa
 
Jwtz au jkt wanasimamia uchaguzi?, Umewahi kuwakuta vituo vya kupigia kura?...... Hawa tuwawalaum kwa ukimya wao huku wakiwa na jukumu la kulinda na kusimamia rasilimal zetu.. wamemuachia Bibi tozo auze Nchi yetu kijinga!!. Ila la uchaguzi hawahusikii.
Nyerere ndo alileta siasa Majeshini aliferi sana kwenye ili
 
Back
Top Bottom