Unachoongelea nakijua au nakielewa sanaNdio maana nikasema "hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".
HahahaMkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:-
i, Polisi
iii, JWTZ
iii, JKT
Nyongeza waalimu
Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu.
Huwa nacheka pale vyama vya upinzani vinavyopo aminishana kuwa uchaguzi huu mara huu CCM hatoki hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu.
Kwa heshima ya JWTZ na JKT. Hao watu waweke pembeni, mara nyingi hawahusikiMkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:-
i, Polisi
iii, JWTZ
iii, JKT
Nyongeza waalimu
Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu.
Huwa nacheka pale vyama vya upinzani vinavyopo aminishana kuwa uchaguzi huu mara huu CCM hatoki hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu.
Anamaanisha kuwa jwtz na jkt kuwa inatolewa amri kuwa wote wampigie kula rais anaetoka ccm kutokana na uwingi waoKwa heshima ya JWTZ na JKT. Hao watu waweke pembeni, mara nyingi hawahusiki
Ila hawa wa polisi wanahusika na mengi, including indirect association with politics kama sio chama tawala
Ila jwtz hawausiki hapo mkuuWala.
"hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".
Kweli wananchi wa hii wapo gizani sana
Usicho kijua ni sawa na usiku wa gizaJkt na jwtz watoe kwenye upuuzi huo ... Hapo ongelea wapuuzi polisi na kada ya watu wapumbavu na wajinga wa mwisho Nchi WALIM. Uchaguzi wa 2020 nilikuwa sehemu ya nilichokiona nikajiapiza siku nikipanga foleni kupiga kura basi nitakuwa na watu jasiri wenzangu tutakaolinda na kuzisimamia hizo kura, nje hapo ni upotevu wa mumuda.
Mkuu unaweza ukawa sahihiUsichokijua ni sawa na usiku wa giza.
Na ndio maana nikasema "hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".
Jwtz au jkt wanasimamia uchaguzi?, Umewahi kuwakuta vituo vya kupigia kura?...... Hawa tuwawalaum kwa ukimya wao huku wakiwa na jukumu la kulinda na kusimamia rasilimal zetu.. wamemuachia Bibi tozo auze Nchi yetu kijinga!!. Ila la uchaguzi hawahusikii.Usicho kijua ni sawa na usiku wa giza
"hii nchi wengi ni kama mambo mengi wana hadithiwa tuu".