Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

Unachekesha sana pia unasikitisha sana pole.

Hii nchi kweli wananchi wake bado vipofu kabisa.
 
I second you mtoa madam, hao wote wanahusika nawashangaa wanaosema watoe jwtz na jkt, they are part of it as mtoa madam explained
 
I second you mtoa madam, hao wote wanahusika nawashangaa wanaosema watoe jwtz na jkt, they are part of it as mtoa madam explained
Wengi hawafahamu halisi huwa ipo vipi.

Polisi hufahamika zaidi kwa sababu vyombo vya habari ndivyo huwamulika zaidi.
 
Walimu wanalazimishwa kujaza form na kubadili matokeo ukikataa unabadilishwa kituo cha kazi
Huko ni uongo,walimu wanasimamia tu wakishatoa matokeo wanakabidhi wanaondoka,mengine mnawasingizia tu.
 
Wasubiri Kikokotoo! Watajuta kufanya dhuruma malipo ni hapahapa
 
Nyerere ndo alileta siasa Majeshini aliferi sana kwenye ili
 
sibishi wenda kuna ukweli tufungue wanausijaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…