Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

Utasikia atakuibia nyota, mara dawa ya mvuto wa kibiashara...

Maisha ya mtu mweusi yana pilika Useless nyingi sana.Mwafrika anashindana na ukweli huku hayuko sure na mambo anayo yaamini 😁
Hakika

Mwafrika anashindaana na ukweli huku hayuko sure na mambo yake ya kufikirika.

Mzungu anaaamini katika teknolojia na inampa matokeo yanayoonekana ila mwafrika anapenda ukimuambia kuwa mbegu za machungwa ukichanganya na karafuu unaongeza wateja😁
 
Na wale weupe wanaofanyaga mahusiano na wanyama eg. mmbwa huwa wanashindana na nini mkuu?

Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
 
Back
Top Bottom