Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

Wachina wanatumia price , bongo wanapenda biashara za kutajirika haraka, wanaweka bei karibia mara mbili ya bidhaa husika ..Wanapenda suala la ''price discrimination'' , huyu akija anampa bei hii na mwingine bei hii , wanaangalia muonekano , hawana bei maalumu kwa vile wauzaji ni kma mawinga.
 
Principal ya uchawi ni uwezi mroga usie mjua

Sasa yawezekana kabsa kumronga mtanzania mwenzako sababu unamjua na tamaduni zake unazijua
Ila ni ngumu kumloga mchina maana humjui na tamaduni zake uzijui

Lakin pia sometime mchawi anaweza akawa ni bei tu wachina wanatushindia apo wabongo bei

Afu kuna kitu wabongo wengi atukijui wachine wengi wanaokuja fanya biashara uku wengi ni mawakala au wawakirishi wachine makampuni au maduka makubwa toka china so bidhaa yao hua zimelipiwa kila kitu toka china so wao kuuza bei nafuu ni kitu cha kawaida maana kiwanda kinachotengeneza iyo bidhaa ni chao

Ila najua tu tz nayo itaenda kua kama SA siku sio nyingi hawa wageni dawa yao bado inachemka
 
Back
Top Bottom