Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

Sioo kwa nchi yakoo tu

Zambia wamepwa vyeo jeshini haoo

Kenya huko na Uganda n balaaa

Kwingine fanya research naendesha motorbikeyangu
... Hawana tofauti na kunguru wa Zanzibar waliomaliza aina nyingi za ndege pori wetu wengi ukanda wa pwani!
Wana umoja sana na si ajabu na serikali yao inawasaidia ushawishi! ... mpaka Chinese mafia gangs tayari, ninahisi, ziko ukanda huu!
SERIKALI ZETU ZISIPOZIBA UFA HUU TUTAJENGA UKUTA!
 
Principal ya uchawi ni uwezi mroga usie mjua

Sasa yawezekana kabsa kumronga mtanzania mwenzako sababu unamjua na tamaduni zake unazijua
Ila ni ngumu kumloga mchina maana humjui na tamaduni zake uzijui

Lakin pia sometime mchawi anaweza akawa ni bei tu wachina wanatushindia apo wabongo bei

Afu kuna kitu wabongo wengi atukijui wachine wengi wanaokuja fanya biashara uku wengi ni mawakala au wawakirishi wachine makampuni au maduka makubwa toka china so bidhaa yao hua zimelipiwa kila kitu toka china so wao kuuza bei nafuu ni kitu cha kawaida maana kiwanda kinachotengeneza iyo bidhaa ni chao

Ila najua tu tz nayo itaenda kua kama SA siku sio nyingi hawa wageni dawa yao bado inachemka
Watakingiwa kifua na chama chao rafiki cha kijani
 
Mpaka hapa imetosha jibu la tuhuma zako kwa mkali limeshapatikana
Ni hivi kwa mtu mwenye akili timamu hauwezi kuweka hitimisho bila kufanya tafiti...hao wachina ndio walijenga daraja la umoja pale mtambaswala na kafara zikifanyika waziwazi na wakati wanajenga kiwanda cha cement cha dangote pia mambo hayo yalikuwepo kwasababu sio kwamba nimesimuliwa bali nimeona kwa macho yangu
 
Sometimes mfanye utafiti kabla ya kuandika.. Waafrika hawafikii machina kwenye ulimwengu wa ndumba na mambo ya mila.. Tofauti ni kwamba wanafanya kwa siri sana na ni mara chache mno kujionesha hadharani
 
Nimefanya biashara fulani na kampuni ya sinoma wakati kinajengwa kiwanda cha dangote nimeyaona hayo mambo
 
Sometimes mfanye utafiti kabla ya kuandika.. Waafrika hawafikii machina kwenye ulimwengu wa ndumba na mambo ya mila.. Tofauti ni kwamba wanafanya kwa siri sana na ni mara chache mno kujionesha hadharani
Mambo ya mila ni tamaduni tu , kwenye ukoo wetu wapo wanaofanya mitambiko kila mwisho wa mwaka na bado hakuna kitu
 
Back
Top Bottom