Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Mkuu naona unazidi kuiamarika siku hadi sikuHio inaitwa ad hominem fallacy
Mkuu naona unazidi kuiamarika siku hadi sikuHio inaitwa ad hominem fallacy
Tulisha maliza mahojianoUnajuaje hakuna kitu?wewe ni dini gani?
Mtibeli umemaliza, wasipokuelewa hapa watapata tabu sanUchawi haunaga nguvu kuliko ujinga.
Yaani ujinga ndio uchawi wenyewe
Tofauti na wachina ambao ni purely pagans kwa asilimia 99.. Sisi tunachanganya sana madesaMambo ya mila ni tamaduni tu , kwenye ukoo wetu wapo wanaofanya mitambiko kila mwisho wa mwaka na bado hakuna kitu
Hizi mambo za mila sisi tunafanya kama tamaduni tu, na kuheshimu wazee , pia ni kichaka cha kula pombe na nyamaTofauti na wachina ambao ni purely pagans kwa asilimia 99.. Sisi tunachanganya sana madesa
Tunakuwa na imani kwenye dini huku bado tunaziabudu mila
Hizi pia ni imani na zinazalisha roho..Hizi mambo za mila sisi tunafanya kama tamaduni tu, na kuheshimu wazee , pia ni kichaka cha kula pombe na nyama
Sijui ila tunafanya kawaida tu , na kuacha mila zetu hasa kwa sisi kibosho ni ngumuHizi pia ni imani na zinazalisha roho..
Sisi wazawa tunatanguliza tamaa mbele, me nipo kwenye biashara ya ujenzi, ukitaka upate bei nzuri ni kwa wachina tuu, wabongo wenzako watanguliza tamaa mbeleHivi karibuni nilihitaji mfuniko wa chrmba. Size 49 kwa 40sm. Toka mwenge kuelekea Bunju bei ni 40000. Ila Manzese ni 22000. Tifauti ya 18000. Wote wamenunua kwa mchina haoa hapa Dar es salaam. Wafanyabiashara wa kutoka Mwrenge hadi Bunju wanaweza kuwa wanatuhujumu sisi?
Kwenye haya mambo Mimi nawasifu wachina wameamua kuwa na msimamo mmoja hawaabudu Mungu wanaabudu miungu na wanaihudumia vilivyo na kuipa heshima kubwaSijui ila tunafanya kawaida tu , na kuacha mila zetu hasa kwa sisi kibosho ni ngumu
Mbona wewe umeweka hitimisho kwamba Red black ni mpuuzi sana, umefanya tafiti ipi ikaonyesha hivo?Ni hivi kwa mtu mwenye akili timamu hauwezi kuweka hitimisho bila kufanya tafiti...hao wachina ndio walijenga daraja la umoja pale mtambaswala na kafara zikifanyika waziwazi na wakati wanajenga kiwanda cha cement cha dangote pia mambo hayo yalikuwepo kwasababu sio kwamba nimesimuliwa bali nimeona kwa macho yangu
Kiongozi nilikucheki kwenye uzi wako haukunijibuSisi wazawa tunatanguliza tamaa mbele, me nipo kwenye biashara ya ujenzi, ukitaka upate bei nzuri ni kwa wachina tuu, wabongo wenzako watanguliza tamaa mbele
Nimemuuliza swali hilo makusudi kama alivyokauliza yeyeMbona wewe umeweka hitimisho kwamba Red black ni mpuuzi sana, umefanya tafiti ipi ikaonyesha hivo?
Sorry mkuu sikuona, hebu ntag tenaKiongozi nilikucheki kwenye uzi wako haukunijibu
Mtibeli umemaliza, wasipokuelewa hapa watapata tabu san
😁😁😁Hawana tofauti na kunguru wa Zanzibar waliomaliza aina nyingi za ndege pori wetu wengi ukanda wa pwani!
Kwa mantiki hii ukipinga Ushoga wewe ni shoga uliyekubuhu?Ni kweli wanaopinga uwepo wa ushirikina duniani ndiyo hao hao wachawi konki kupindukia?
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Irrelevant example, pia "kimtokacho mtu mdomoni ndicho kilichojaa rohoni mwake" itabidi tukufanyie uchunguzi na kukuwajibisha kisheria kwa kuwa na vinasaba vya aina hiyo.Kwa mantiki hii ukipinga Ushoga wewe ni shoga uliyekubuhu?
WTF?!!!