"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.

Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee

Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile

Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge

Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea

​
 
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.

Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee

Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile

Uanze upya kisa kamlaya kamoja

​
Binafsi uhai ndiyo kipaumbele no 1 maishani, si nilikuwa sina hizo mali awali lakini Mungu mtoa riziki alinipatia, kwanini asinipatie tena hizo mali nikitembea katika kanuni zake za kuwa mwaminifu nikimtolea zaka na sadaka na kujituma katika biashara au kazi zangu?

Kwanini niwe na imani haba?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Ukiwa na hakika na chanzo cha kipato chako, kuanza upya ni rahisi sana.

Kulipia kodi, kununua kitanda, godoro, tv, na radio kwa mwingine anamaliza vyote ndani ya mwezi mmoja.

Hata kwa anayeunga anaweza maliza kununua vyote hivyo ndani ya miezi minne mpaka sita.

Kwenye kutafuta amani ya moyo ni heri uvumilie kuunga miezi sita ununue vyako, kuliko kuendelea kupigizana kelele na mtu kisa tv na kitanda.
 
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.

Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee

Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile

Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge

Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea

​
Alitaka majina kwenye hati ya nyumba yabadilidhwe yaandikwe ya kwake na watoto wake tu huyo mwanamke alikuwa ni zaidi ya shetani bora amekula chuma ya kichwa
 
Wewe kichaa kweli! Unafikiri kuanza upya maisha ni kazi rahisi sana wewe jamaa? Yani familia tayari mna watoto zaidi ya wawili alafu umuachie mwanamke Mali zote uanze upya na ajira zenyewe kesho unayo kesho kutwa hauna
Mleta mada hajasema anaunga mkono kauli ya 'anza upya' mkuu.
 
Siwezi muachia mali yangu mwanamke mwenye tamaa,tofauti na kugawana hapo lazima nimpeleke ahera,Tena bila kuacha alama yoyote ile
Ni kosa kubwa sana kumwachia mchepuko mali zako. Bora kugawana

Sema wanaume tujitahidi mali zingine wasizijue hawa viumbe wana roho mbaya sana

Kuna wakati ni vyema kucheza kama Hakimi sainisha jina la bimkubwa au ndugu wa karibu wa familia unayotokea
 
Ni kosa kubwa sana kumwachia malaya mali zako. Bora kugawana

Sema wanaume tujitahidi mali zingine wasizijue hawa viumbe wana roho mbaya sana

Kuna wakati ni vyema kucheza kama Hakimi sainisha jina la bimkubwa au ndugu wa karibu wa familia unayotokea

Ishu sio Mali.
maana kama mna watoto. Basi watoto wako watarithi hizo Mali.

kwenye Hili kuna kila dalili ya usaliti. Na jinsi gani mke na mume wanaresolve ishu hiyo ya usaliti.

Kwahiyo, je? mkeo anakusaliti ndan ya ndoa. Na unamjia juu anakujibu jeuri au ana kimbilia talaka.
Utareact vipi?.

Sisi wanaume hatuna msamiati wa kusamehe mke msaliti.

Kwahiyo mtakuwa mnaishi nyumba moja ika maugomvi hayaishi.
Kila ukikumbuka mkeo kanyonya uboo wa jamaa mwingine kisukari kinakupanda😣😣😣.

Niamini iko siku utamuua huyo mwanamke.

Refer na yule jamaa aliyemchoma mke wake na magunia mawili ya mkaa.
Ishu wala haikuwa mali.
Refer na yule jamaa aliyempigia Mke wake missed call 46 . Akahisi mwanamke anachepuka. Alivyorud akampiga risasi.

Usaliti ndio chanzo cha mitafaruku ya ndoa nyingi.
Kwenye Hili. Sisi wanaume Mungu atuongoze na pia wake zetu walitambue hili.

Na waache kusema haki sawa.usaliti wa mwanamke kwenye Ndoa ni kitu hatuwezi vumilia na ndio chanzo cha talaka na mauaji mengi.

NB : 👆👆👆Waone wanawake wa JF.
 
Binafsi uhai ndiyo kipaumbele no 1 maishani, si nilikuwa sina hizo mali awali lakini Mungu mtoa riziki alinipatia, kwanini asinipatie tena hizo mali nikitembea katika kanuni zake za kuwa mwaminifu nikimtolea zaka na sadaka na kujituma katika biashara au kazi zangu?

Kwanini niwe na imani haba?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hayajakukuta mzee, unaongea kihisia zaidi ya uhalisia

Wanaume tunahustle sana kujenga mazingira bora ya wake na watoto wetu.

Kwa ground mambo sio rahisi kihivyo, nadhani umewahi kujenga au kuanzisha biashara ikasimama ukaona msoto wake

Kuna wakati usiku wa manane macho kwenye dari unawaza life yeye pembeni kalala tu mamaé anakoroma kama jenereta

Halafu mjinga mmoja aingie tamaa na mali zako na ni mtu wako wa karibu
​
 
Hayajakukuta mzee, unaongea kihisia zaidi ya uhalisia

Wanaume tunahustle sana kujenga mazingira bora ya wake na watoto wetu.

Kwa ground mambo sio rahisi kihivyo, nadhani umewahi kujenga au kuanzisha biashara ikasimama ukaona msoto wake

Kuna wakati usiku wa manane macho kwenye dari unawaza life yeye pembeni kalala tu mamaé anakoroma kama jenereta

Halafu mjinga mmoja aingie tamaa na mali zako halafu mtu wako wa karibu
​
Naelewa sana mkuu, kusaka mali ni kipengele sana ndiyomaana wapo watu wanaweza kusaka kwa miaka 15, 20 hadi 30 ndiyo wakafanikiwa na wengine hadi uzeeni au wasifanikiwe kabisa.

Uhai ndiyo chenye thamani sana kuliko yote hayo, Mungu akikujalia afya ni heri kuanza upya kuliko kujitafutia kifo cha mapema kwa kuwindana kimya kimya labda kukodishiwa wahuni wa kukunyofoa uhai au hata nguvu za kishirikina.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Ishu sio Mali.
maana kama mna watoto. Basi watoto wako watarithi hizo Mali.

Ishu je, mkeo anakusaliti ndan ya ndoa. Na unamjia juu anakujibu jeuri au ana kimbilia talaka.
Utareact vipi?.

Sisi wanaume hatuna msamiati wa kusamehe mke msaliti.

Kwahiyo mtakuwa mnaishi nyumba moja ika maugomvi hayaishi.
Kila ukikumbuka mkeo kanyonya uboo wa jamaa mwingine kisukari kinakupanda
Ni sahihi kabisa wanaume kamili huwa hatusamehi mwanamke msaliti hata ajilize namna gani au aombe msamaha kwa kadiri gani

Changamoto inakuja unakuta mke anataka talaka mgawame mali na huku tayari ana mchepuko

Mkishagawana yeye na mchepuko wake waje wale bata pesa na mali zako ulizotafuta kwa jasho

Ukifikiria hayo mambo mawili unaweza kumwelewa Kweka na jamaa wa magunia 2 ya mkaa

Inauma sana

Halafu wanakwambia "mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"
 
Siwezi muachia mali yangu mwanamke mwenye tamaa,tofauti na kugawana hapo lazima nimpeleke ahera,Tena bila kuacha alama yoyote ile
Binafsi,kama kweli amechangia nitagawana naye hata 50/50,lkn kama alinikuta nazo kiutu naweza mgawia kwa kiasi ninachoona kinafaa,ila akilazimisha pasu.....litamkuta jambo
 
Ukipata mwanamke mnasikilizana, mnasameheana shukuru sana Mungu. Sio wote wenye hiyo neema…jamaa kajitafuta kaanza kujipata amerudi nyuma na possibly anaenda jela watoto watakuwa wanazurura tu kwa ndugu hadi anatoka huku nyumbani hakuna kilichobaki.
 
Halafu ukute mwanaume umri umesha enda,halafu mtu anakwambia muachie mali ukaanze upya!
Utaanza upya kila siku?
Watu wanaongea tu

Kibongobongo mpaka mtu aje kumiliki mali kama alizokuwa nazo Kweka kama haukutokea familia bora inakuchukua miaka kadhaa lazima umri uwe umeenda

Unakuta pale jamaa ana 45+ leo aziache akaanze upya sijui watu wanayachukuliaje maisha
 
Ukipata mwanamke mnasikilizana, mnasameheana shukuru sana Mungu. Sio wote wenye hiyo neema…jamaa kajitafuta kaanza kujipata amerudi nyuma na possibly anaenda jela watoto watakuwa wanazurura tu kwa ndugu hadi anatoka huku nyumbani hakuna kilichobaki.
“Kila mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.” — Mithali 14:1​

Sir God alikuwa mbele ya wakati sana
 
Back
Top Bottom