mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Sawa usimuachie ila sio kuuana
Sasa kipi bora? Kwenda kutumikia kifungo maisha yake yote ni nafuu kuliko kuishi uraiani ukiwa huru lakini huna mali? I bet jamaa baada ya mwezi mmoja atakuwa anajilaumu sana. Hizi hasira hizi.... BTW kuna njia nyingine nyingi tu angeweza kutumia badala ya kumpiga risasi (na hapa tunajadili kama mwanamke ndiye mwenye makosa. Unaweza kukuta ukimbiwa kisa cha mwanamke kutaka kuandika jina lake unaweza kusema huyo jamaa ni zaidi ya shetani)Watu wanaongea tu
Kibongobongo mpaka mtu aje kumiliki mali kama alizokuwa nazo Kweka kama haukutokea familia bora inakuchukua miaka kadhaa lazima umri uwe umeenda
Unakuta pale jamaa ana 45+ leo aziache akaanze upya sijui watu wanayachukuliaje maisha
Zitakusaidia nini huko jela?Wacha niende tu jela. Nitafute Mali kwa jasho na damu halafu mtu kwa tamaa zake azivizie ili azichuke?! Hapana!
Kwa hiyo we unataka mimi nitafute mali halafu mtu mmoja mwenye tamaa aifanye yake kisha mimi nianze upya?Zitakusaidia nini huko jela?
Kafa kwa uzembe sana kisa mali ila wachagaAlitaka majina kwenye hati ya nyumba yabadilidhwe yaandikwe ya kwake na watoto wake tu huyo mwanamke alikuwa ni zaidi ya shetani bora amekula chuma ya kichwa
Hivi kwani ndoa ni lazima?Ishu sio Mali.
maana kama mna watoto. Basi watoto wako watarithi hizo Mali.
kwenye Hili kuna kila dalili ya usaliti. Na jinsi gani mke na mume wanaresolve ishu hiyo ya usaliti.
Kwahiyo, je? mkeo anakusaliti ndan ya ndoa. Na unamjia juu anakujibu jeuri au ana kimbilia talaka.
Utareact vipi?.
Sisi wanaume hatuna msamiati wa kusamehe mke msaliti.
Kwahiyo mtakuwa mnaishi nyumba moja ika maugomvi hayaishi.
Kila ukikumbuka mkeo kanyonya uboo wa jamaa mwingine kisukari kinakupanda😣😣😣.
Niamini iko siku utamuua huyo mwanamke.
Refer na yule jamaa aliyemchoma mke wake na magunia mawili ya mkaa.
Ishu wala haikuwa mali.
Refer na yule jamaa aliyempigia Mke wake missed call 46 . Akahisi mwanamke anachepuka. Alivyorud akampiga risasi.
Usaliti ndio chanzo cha mitafaruku ya ndoa nyingi.
Kwenye Hili. Sisi wanaume Mungu atuongoze na pia wake zetu walitambue hili.
Na waache kusema haki sawa.usaliti wa mwanamke kwenye Ndoa ni kitu hatuwezi vumilia na ndio chanzo cha talaka na mauaji mengi.
NB : 👆👆👆Waone wanawake wa JF.
Kwahyo ulitaka mwanamke aache nyumba yake?Kafa kwa uzembe sana kisa mali ila wachaga
Talaka ndy suluhusho, baadae mnakwenda mahakamani mali zigaiwe.Watu wanaongea tu
Kibongobongo mpaka mtu aje kumiliki mali kama alizokuwa nazo Kweka kama haukutokea familia bora inakuchukua miaka kadhaa lazima umri uwe umeenda
Unakuta pale jamaa ana 45+ leo aziache akaanze upya sijui watu wanayachukuliaje maisha
Tunavyosikia.Kwahyo ulitaka mwanamke aache nyumba yake?
Hapo inaonyesha mwanaume ni marioo,,
Na aliandikishwa nyumba wakati penzi bado jipya,, baadae ya penzi kuisha akataka kutolewa kwenye mali ndy tatizo lilipoanzia..
Hapo mwanaume ndy fala
Haya maneno unayoongea now sababu bado hujatenda tukio.Siwezi muachia mali yangu mwanamke mwenye tamaa,tofauti na kugawana hapo lazima nimpeleke ahera,Tena bila kuacha alama yoyote ile
Mkuu tupate na ukweli wa upande wa muuaji pengine chanzo cha kifo ni marehemu mwenyewe wanawake we wasikie tu ni vile hawajakubadilikia hapo ulipo yahitaji hekima sana kuish na hao viumbeKwahyo ulitaka mwanamke aache nyumba yake?
Hapo inaonyesha mwanaume ni marioo,,
Na aliandikishwa nyumba wakati penzi bado jipya,, baadae ya penzi kuisha akataka kutolewa kwenye mali ndy tatizo lilipoanzia..
Hapo mwanaume ndy fala
ngempa tu talaka, wanawake wapo wengine wengi sn,Tunavyosikia.
Ni kuwa Mwanaume uchumi uliyumba.
Na akagundua kuna usaliti.
Na mwanamke akadai talaka.
Siwezi,kama wewe ni Ke njoo ujichanganye kwangu uone, nakumaliza bila kuacha alama,elewa neno bila kuacha alamaHaya maneno unayoongea now sababu bado hujatenda tukio.
Baada ya kutenda tukio utatamani umwachie mali zote na uwe huru..
Hizo ni kauli kabla ya kutenda tukio..Siwezi,kama wewe ni Ke njoo ujichanganye kwangu uone, nakumaliza bila kuacha alama,elewa neno bila kuacha alama
Sasa kipi bora? Kwenda kutumikia kifungo maisha yake yote ni nafuu kuliko kuishi uraiani ukiwa huru lakini huna mali? I bet jamaa baada ya mwezi mmoja atakuwa anajilaumu sana. Hizi hasira hizi.... BTW kuna njia nyingine nyingi tu angeweza kutumia badala ya kumpiga risasi (na hapa tunajadili kama mwanamke ndiye mwenye makosa. Unaweza kukuta ukimbiwa kisa cha mwanamke kutaka kuandika jina lake unaweza kusema huyo jamaa ni zaidi ya shetani)