"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

Ukiwa na hakika na chanzo cha kipato chako, kuanza upya ni rahisi sana.

Kulipia kodi, kununua kitanda, godoro, tv, na radio kwa mwingine anamaliza vyote ndani ya mwezi mmoja.

Hata kwa anayeunga anaweza maliza kununua vyote hivyo ndani ya miezi minne mpaka sita.

Kwenye kutafuta amani ya moyo ni heri uvumilie kuunga miezi sita ununue vyako, kuliko kuendelea kupigizana kelele na mtu kisa tv na kitanda.
Umeoa? Nataka nije baada ya miezi 6 niondoke na kila kitu
 
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.

Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee

Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile

Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge

Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea

​
Mwanaume usijimalize sana kwa mwanamke,hakikisha una kitu pembeni asichokijua endapo ataanza chokochoko kwa anavyovijua.

Mkifika hapo mpe option moja mali ni za watoto,Mahakama inapenda sana hii option. Then Endelea na mambo yako.

Kweka umri ushaenda unataka aanze upya kweli, Japo Hatutaki wa kuua .
 
Umeoa? Nataka nije baada ya miezi 6 niondoke na kila kitu
Sasa mimi na wewe mbona hatutashindwana milele!

Ni kifo tu.....

Naamini vitu viwili pekee ndio havitafutwi hapa duniani, roho na mama mzazi.

Nikipoteza kimojawapo kati ya hivyo ndio pengo kwangu.
 
Wote mnaongea kwa kutumia hisia. Au huwa hamjui maana ya hisia, hata kuongea kwa hasira pia ni hisia.

Fair game ni kugawana, ila hakuna kitu kigumu kama kugawa mali isiyohamishika.
Fair game ni kugawana

Vipi akiingia tamaa?
 
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.

Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee

Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile

Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge

Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea

​
Kama nina watoto nae, la sivyo arudi kwa wazazi wake.
 
Watu wanaongea tu

Kibongobongo mpaka mtu aje kumiliki mali kama alizokuwa nazo Kweka kama haukutokea familia bora inakuchukua miaka kadhaa lazima umri uwe umeenda

Unakuta pale jamaa ana 45+ leo aziache akaanze upya sijui watu wanayachukuliaje maisha
Ni mwendo wa kupiga paipu tu.
 
Shida sio mali,

Shida sio mafarakano,

Shida ni jinai ya mauaji. Huruhusiwi kuua mtu kwasababu ya mafarakano ya ndoa na migogoro ya mali.
 
Back
Top Bottom