Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #21
Ujumbe umefika mkuuSaa100 mwambie achuachie basi Bandari yetu
Ujumbe umefika mkuuSaa100 mwambie achuachie basi Bandari yetu
comment yako imejaa mambo mengi ila kipange hiki ndo kimenichanganya zaidi , wewe unataka Mungu atuongoze kwenye sehemu gani mkuu, maana unatuambia kwenye hali hiyo tuendelee kuwapeleka mbinguni, na wakati huohuo Mungu atuongoze , atuongoze kwenye nini?Usaliti ndio chanzo cha mitafaruku ya ndoa nyingi.
Kwenye Hili. Sisi wanaume Mungu atuongoze na pia wake zetu walitambue hili.
Hii nchi tuna tabia ya kurahisisha vitu na kuvichukulia poa kwa sababu havijatutokea sisi. Mbaya zaidi tunataka watu wachukulie vitu poa wakati hatujawaandaa kisaikolojia. Nimeshangaa sana post za Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii kwenye mitandao. Hii inaonesha ni kwa namna gani kama jamii tuna shida kubwa. Tunakimbilia conclusion bila kutaka kujua kilicho nyuma ya pazia. Kwa aina ya akili zetu haya matukio yataendelea sana na watu hususan watoto wataumia sana.Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.
Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee
Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile
Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge
Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea
Changamoto inakuja unakuta mke anataka talaka mgawame mali na huku tayari ana mchepuko
Mkishagawana yeye na malaya wake waje wale bata pesa na mali zako ulizotafuta kwa jasho
Ukifikiria hayo mambo mawili unaweza kumwelewa Kweka na jamaa wa magunia 2 ya mkaa
comment yako imejaa mambo mengi ila kipange hiki ndo kimenichanganya zaidi , wewe unataka Mungu atuongoze kwenye sehemu gani mkuu, maana unatuambia kwenye hali hiyo tuendelee kuwapeleka mbinguni, na wakati huohuo Mungu atuongoze , atuongoze kwenye nini?
Haa Mfuko Wa Saruji Kazi IpoWatu wanaongea tu
Kibongobongo mpaka mtu aje kumiliki mali kama alizokuwa nazo Kweka kama haukutokea familia bora inakuchukua miaka kadhaa lazima umri uwe umeenda
Unakuta pale jamaa ana 45+ leo aziache akaanze upya sijui watu wanayachukuliaje maisha
Kisha unakwenda jela maisha na kuacha watoto wakiteseka. Umepata faida gani?Ua mtu kwenye chako.
Wala usiteterke. Habari ya mpumbavu mmoja kuvizia Mali yako ni ujinga.
kweli kesi ngumu sana hiiMungu afanye njia nyingne.
Kuepusha shari zaidi.
Ikibidi amuondoe mwanamke kabla ww hujamuondoa 😂😂😂😂.
Maana hii kesi ni ngumu sana kwa mwanaume kuhandle.
Na ukiweza kuhandle bila kudhuru mtu . Basi trauma yake ndio kisukari au kupooza mwili kwa sababu ya pressure.
Mungu tu ndio anajua namna nzuri.
Atuongoze yakitutokea majanga kama haya.
Japo wewe ni ***** mbobevu lakini nakuunga mkono hapa, alichokosea kweka ni kumuua wazwaz ingekua mimi ningetumia njia ambayo ni ngumu kujilikana hata ushirikinaUa mtu kwenye chako.
Wala usiteterke. Habari ya mpumbavu mmoja kuvizia Mali yako ni ujinga.
Yeye niliyemuua atakuwa amepata faida gani?Kisha unakwenda jela maisha na kuacha watoto wakiteseka. Umepata fauda gani?
Kumbe ***** nawe unaumia kudhulumiwa? Nilikuwa sijui aisee!Japo wewe ni ***** mbobevu lakini nakuunga mkono hapa, alichokosea kweka ni kumuua wazwaz ingekua mimi ningetumia njia ambayo ni ngumu kujilikana hata ushirikina
Hapa tunaongelea wewe uliyesema utaua, sio uliyemuua.Yeye niliyemuua atakuwa amepata faida gani?
Watoto watabaki na mali tuliyokuwa tunagombania.
Wacha niende tu jela. Nitafute Mali kwa jasho na damu halafu mtu kwa tamaa zake azivizie ili azichuke?! Hapana!Hapa tunaongelea wewe uliyesema utaua, sio uliyemuua.
Tangu lini mali zikalea?