Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Binafsi uhai ndiyo kipaumbele no 1 maishani, si nilikuwa sina hizo mali awali lakini Mungu mtoa riziki alinipatia, kwanini asinipatie tena hizo mali nikitembea katika kanuni zake za kuwa mwaminifu nikimtolea zaka na sadaka na kujituma katika biashara au kazi zangu?Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.
Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee
Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile
Uanze upya kisa kamlaya kamoja
Alitaka majina kwenye hati ya nyumba yabadilidhwe yaandikwe ya kwake na watoto wake tu huyo mwanamke alikuwa ni zaidi ya shetani bora amekula chuma ya kichwaHivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy.
Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee
Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile
Uanze upya kisa kamalaya kamoja huo ni usenge
Wapambanaji watamwelewa sana Kweka basi tu ndio vile kifo kimetokea
Mleta mada hajasema anaunga mkono kauli ya 'anza upya' mkuu.Wewe kichaa kweli! Unafikiri kuanza upya maisha ni kazi rahisi sana wewe jamaa? Yani familia tayari mna watoto zaidi ya wawili alafu umuachie mwanamke Mali zote uanze upya na ajira zenyewe kesho unayo kesho kutwa hauna
Ni kosa kubwa sana kumwachia mchepuko mali zako. Bora kugawanaSiwezi muachia mali yangu mwanamke mwenye tamaa,tofauti na kugawana hapo lazima nimpeleke ahera,Tena bila kuacha alama yoyote ile
Ni kosa kubwa sana kumwachia malaya mali zako. Bora kugawana
Sema wanaume tujitahidi mali zingine wasizijue hawa viumbe wana roho mbaya sana
Kuna wakati ni vyema kucheza kama Hakimi sainisha jina la bimkubwa au ndugu wa karibu wa familia unayotokea
Binafsi uhai ndiyo kipaumbele no 1 maishani, si nilikuwa sina hizo mali awali lakini Mungu mtoa riziki alinipatia, kwanini asinipatie tena hizo mali nikitembea katika kanuni zake za kuwa mwaminifu nikimtolea zaka na sadaka na kujituma katika biashara au kazi zangu?
Kwanini niwe na imani haba?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Naelewa sana mkuu, kusaka mali ni kipengele sana ndiyomaana wapo watu wanaweza kusaka kwa miaka 15, 20 hadi 30 ndiyo wakafanikiwa na wengine hadi uzeeni au wasifanikiwe kabisa.Hayajakukuta mzee, unaongea kihisia zaidi ya uhalisia
Wanaume tunahustle sana kujenga mazingira bora ya wake na watoto wetu.
Kwa ground mambo sio rahisi kihivyo, nadhani umewahi kujenga au kuanzisha biashara ikasimama ukaona msoto wake
Kuna wakati usiku wa manane macho kwenye dari unawaza life yeye pembeni kalala tu mamaé anakoroma kama jenereta
Halafu mjinga mmoja aingie tamaa na mali zako halafu mtu wako wa karibu
Ni sahihi kabisa wanaume kamili huwa hatusamehi mwanamke msaliti hata ajilize namna gani au aombe msamaha kwa kadiri ganiIshu sio Mali.
maana kama mna watoto. Basi watoto wako watarithi hizo Mali.
Ishu je, mkeo anakusaliti ndan ya ndoa. Na unamjia juu anakujibu jeuri au ana kimbilia talaka.
Utareact vipi?.
Sisi wanaume hatuna msamiati wa kusamehe mke msaliti.
Kwahiyo mtakuwa mnaishi nyumba moja ika maugomvi hayaishi.
Kila ukikumbuka mkeo kanyonya uboo wa jamaa mwingine kisukari kinakupanda
Binafsi,kama kweli amechangia nitagawana naye hata 50/50,lkn kama alinikuta nazo kiutu naweza mgawia kwa kiasi ninachoona kinafaa,ila akilazimisha pasu.....litamkuta jamboSiwezi muachia mali yangu mwanamke mwenye tamaa,tofauti na kugawana hapo lazima nimpeleke ahera,Tena bila kuacha alama yoyote ile
Watu wanaongea tuHalafu ukute mwanaume umri umesha enda,halafu mtu anakwambia muachie mali ukaanze upya!
Utaanza upya kila siku?
Ukipata mwanamke mnasikilizana, mnasameheana shukuru sana Mungu. Sio wote wenye hiyo neema…jamaa kajitafuta kaanza kujipata amerudi nyuma na possibly anaenda jela watoto watakuwa wanazurura tu kwa ndugu hadi anatoka huku nyumbani hakuna kilichobaki.