"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

Kuua mtu unaishia nyuma ya nondo. Unakosa mali zenyewe na unakosa malezi kwa watoto wako. 😊

Ishi na mwanamke kwa akili, wenye akili hawaweki mayai yote kwenye kapu moja. Vinginevyo utaishia jela, kuuwawa au kuchanganyikiwa.
 
Usaliti ndio chanzo cha mitafaruku ya ndoa nyingi.
Kwenye Hili. Sisi wanaume Mungu atuongoze na pia wake zetu walitambue hili.
comment yako imejaa mambo mengi ila kipange hiki ndo kimenichanganya zaidi , wewe unataka Mungu atuongoze kwenye sehemu gani mkuu, maana unatuambia kwenye hali hiyo tuendelee kuwapeleka mbinguni, na wakati huohuo Mungu atuongoze , atuongoze kwenye nini?
 
Hii nchi tuna tabia ya kurahisisha vitu na kuvichukulia poa kwa sababu havijatutokea sisi. Mbaya zaidi tunataka watu wachukulie vitu poa wakati hatujawaandaa kisaikolojia. Nimeshangaa sana post za Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii kwenye mitandao. Hii inaonesha ni kwa namna gani kama jamii tuna shida kubwa. Tunakimbilia conclusion bila kutaka kujua kilicho nyuma ya pazia. Kwa aina ya akili zetu haya matukio yataendelea sana na watu hususan watoto wataumia sana.
 
Kama sikuwa na akili ya kulinda mali zangu zisipotee nitaanza upya.
 
Sio Kirahisi Hivyo mkuu. Ukikumbuka ule msoto asubuhi chapati za jero na harage la jero Akiba unarusha jero! Leo umejipata uje kumwachia mwanamke. Nitawaachia wanangu sio mbunye
 

Sahihi.
Mm Kama mwanaume Nawaelewa hao majamaa..
 

Mungu afanye njia nyingne.
Kuepusha shari zaidi.
Ikibidi amuondoe mwanamke kabla ww hujamuondoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Maana hii kesi ni ngumu sana kwa mwanaume kuhandle.

Na ukiweza kuhandle bila kudhuru mtu . Basi trauma yake ndio kisukari au kupooza mwili kwa sababu ya pressure.

Mungu tu ndio anajua namna nzuri.
Atuongoze yakitutokea majanga kama haya.
 
Reactions: Lax
Ni akili ya uoga tu kuanza upya sasa hebu niambie mgombanie mali mtoane roho kisa mali zinazotafutwa?maisha yako yote yanaishia jela kuna wanaume mna akili za kipuzi sana mnaruhusu hisia ziwatawale,
 
Haya Yanazungumzika Sana
Kuawana Siyo Sawa Muachie Aende Nawe Ondoka
 
Haa Mfuko Wa Saruji Kazi Ipo
 
kweli kesi ngumu sana hii
 
Ua mtu kwenye chako.
Wala usiteterke. Habari ya mpumbavu mmoja kuvizia Mali yako ni ujinga.
Japo wewe ni ***** mbobevu lakini nakuunga mkono hapa, alichokosea kweka ni kumuua wazwaz ingekua mimi ningetumia njia ambayo ni ngumu kujilikana hata ushirikina
 
Japo wewe ni ***** mbobevu lakini nakuunga mkono hapa, alichokosea kweka ni kumuua wazwaz ingekua mimi ningetumia njia ambayo ni ngumu kujilikana hata ushirikina
Kumbe ***** nawe unaumia kudhulumiwa? Nilikuwa sijui aisee!

Ukiacha uchoko utakuwa mtua wa thamani ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…