"Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

Umeoa? Nataka nije baada ya miezi 6 niondoke na kila kitu
 
Mwanaume usijimalize sana kwa mwanamke,hakikisha una kitu pembeni asichokijua endapo ataanza chokochoko kwa anavyovijua.

Mkifika hapo mpe option moja mali ni za watoto,Mahakama inapenda sana hii option. Then Endelea na mambo yako.

Kweka umri ushaenda unataka aanze upya kweli, Japo Hatutaki wa kuua .
 
Umeoa? Nataka nije baada ya miezi 6 niondoke na kila kitu
Sasa mimi na wewe mbona hatutashindwana milele!

Ni kifo tu.....

Naamini vitu viwili pekee ndio havitafutwi hapa duniani, roho na mama mzazi.

Nikipoteza kimojawapo kati ya hivyo ndio pengo kwangu.
 
Wote mnaongea kwa kutumia hisia. Au huwa hamjui maana ya hisia, hata kuongea kwa hasira pia ni hisia.

Fair game ni kugawana, ila hakuna kitu kigumu kama kugawa mali isiyohamishika.
Fair game ni kugawana

Vipi akiingia tamaa?
 
Kama nina watoto nae, la sivyo arudi kwa wazazi wake.
 
Ni mwendo wa kupiga paipu tu.
 
Shida sio mali,

Shida sio mafarakano,

Shida ni jinai ya mauaji. Huruhusiwi kuua mtu kwasababu ya mafarakano ya ndoa na migogoro ya mali.
 
Ukijenga ghorofa kama ile ya Kweka, nondo mm 16 kwa sasa sh. 42,000 kusimamisha nguzo moja sio chini ya sh. 100,000

Mtu anakwambia muachie uanze upya manina
Pesa Ndefu Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…