Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

Ukipata majukumu huwezi kusema huu upuuzi
Yan kama unalipa ada kwenye haya mabasi ya njani,fundi site anataka advance asonge mbele,nyumba rakaa tatu zina kuhusu ,kingamuzi,umeme ,maji ,usafiri tairi zinakutupa mkono !!!!!,wazee wamestaafu una miezi mitatu hukatuma hata 50 elf kweli huwezi andika mashudi ya hivyo asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we hayo ndio umeona majukumu mazito acha utoto bado hujakomaa
 
Tusipende kuchagua sehemu nzuri kiasili , tujifunze kwa Dubai na Israel , wamewezaje kubadili jangwa kuwa sehemu inayovutia mno, ata sisi tunaweza tukibadili jinsi tunavyotazama mambo
Pesa kule kuna vyanzo vya pesa Mafuta
 
Safi sana. Vijana wa kizazi kipya taabu sana. Akishapata ka IST basi anajiona kafiiika! TAKUKURU hebu kazeni Uzi, kesi za uhujumu uchimi zimepoa sana siku hizi! Watu wameishaanza kukwepa kodi. Tumesikia juzi kutoka EWURA!
 
Unazungumza Tanzania ya mwaka gani,muwe mnakusanya pesa kidogo angalau mwisho wa mwaka utembee mikoa hata mitano ili ujue nchi yako ikoje...
 
Safi sana. Vijana wa kizazi kipya taabu sana. Akishapata ka IST basi anajiona kafiiika! TAKUKURU hebu kazeni Uzi, kesi za uhujumu uchimi zimepoa sana siku hizi! Watu wameishaanza kukwepa kodi. Tumesikia juzi kutoka EWURA!
Hivi dumu la mafuta ya alizeti mnauzaje huko Dodoma
 
Sisi ndio tunajua mkoa ulivyo na karaha pamoja na raha zake
Tuache tuishi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…