Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Ni sahihi sababu ya tope la mfinyanzi na Karatu pia kuko hivyo
Wenyewe wanakwambia Ntwala ndogo 🤣 🤣
Wewe uko kama mimi kiufupi kuishi mikoa yenye msongamano wa watu karaha tabu na kila ahubiri hapana.Mimi kuna mikoa sipendi kuishi, siwezi kusema sitakaa niishi humo maana siijui kesho yangu. Ila kama ningepewa uwezo wa kuchagua Dar mimi siishi labda nikatembee siku kadhaa na kuondoka.
Ni kweli, huyu mtoa mada ni mjingaNi kimoja kati ya hivi kinakusumbua Kiburi cha pesa ama kipato cha uhakika kwa sasa, ujana na kutopevuka kiakili naivety, kutokuwa na majukumu ya kifamilia ama wategemezi. Siku factor mojawapo kati hizo zikibadirika utajikuta unaenda kukaa sehemu ama eneo ambalo hata hujawahi hata kuwaza utakuja kukaa.
Huko pagumu sana kwa wageniMoshi
Tupo pamojaMkoa wowote nje ya Dsm hapana kwakweli, yaan kitakachonitoa Dsm ni njaa na fursa ila mchongo ukiisha au nikishiba kidogo narudi kwa base yangu uptown Dsm.
Hapo ndio umefika mwisho kufikiriAmbao mnalishwa na kula bure, lazima mchague pakuishi. Na ambao mna akili fupi lazima mchague pakuish maana hamuwez kufikirisha ubongo...
Mkuu umeeleweka vyema kabisaWenye akili nzuri huwa wanakimbia sehemu ambazo wanajua zinarudisha maendeleo yao nyuma. Tuachane na mambo ya Tanzania. Kuna watu nimesoma nao kwa sasa wako USA, UK, Australia... wanaishi maisha ya dunia ya kwanza, siyo Sumbawanga. Hata ufanye nini huko Sumbawanga, hauwezi kuwafikia. Usifikiri eti wewe una akili kwa vile unakaa Kibondo.
Jaribu kuficha ujinga ulionao unawaza kuhongwa au unamiliki K mnatoDuuuh mawazp finyu kabisa umeandika leo
Kwanza sijui unatokea mkoa gan unapata mda wa kuwaza ujinga namna hii,atakayekupa hiyo nyumba ba gari bure ni nani may be we ni chai maharage
MacimboaCabo Delgado
Dom hamna maisha mnajidanganya na starehe ya ulevi mida Kama hii unakuka wamejazana Bambalaga au Capital hamna cha maana kinachofanyikaDom ipi yenye vumbi,kuna Mji wenye mtandao mkubwa wa lami kama Dom kwa sasa? Na bado ring road bado utalinganisha Dom na hivyo vi slum town vyenu kweli? U can't be serious..Dom is Abuja to come
Kuanzia kilimo mpaka mzunguko wa pesaHuo ukame upi unaousemea? Au ww ni mkulima#
Singida vipi?Mi pamenishinda huko
kigoma yote ni kugumu ndio maana wenyeji wanapakimbia tangu zamani.Sehemu ambayo niwahi kufika na kuona taabu kuishi ni Kasulu na Kibondo. Ilikuwa wakati wa mvua. Palikuwa pagumu sana kwangu.
Hacha dharau kwa kazi za watu. wapo boda na vinyozi wamepiga kazi hadi wamejenga.Ukute ni kinyozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu au bodaboda.
Wamejaa Tegetakigoma yote ni kugumu ndio maana wenyeji wanapakimbia tangu zamani.
TAKUKURU wakaze uzi kisa watu wana nunua magari kwa wingi?? shame on you hacha roho mbaya .Safi sana. Vijana wa kizazi kipya taabu sana. Akishapata ka IST basi anajiona kafiiika! TAKUKURU hebu kazeni Uzi, kesi za uhujumu uchimi zimepoa sana siku hizi! Watu wameishaanza kukwepa kodi. Tumesikia juzi kutoka EWURA!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fresh ila tatizo mzunguko wa pesa bado mdogo Ingawa Wachaga na Warangi wamekamata soko kuu hapo Jamatini wenyeji wamekamata kilimo cha alizeti na mifugoSingida vipi?