luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Sasa mkuu hapo kosa lake mbona alipo. kama mtu analo gari asiseme? kama mtu kajenga asiseme??? tatizo ni wivu tu na roho mbaya zimewajaa .acheni watu wafanikiwe kila kiumbe kina njia zake.Na Mimi me meshangaa, utandawazi wote huu Bado mtu anashobokea gari? Acha ataolewa huyu.
Wamejaa Tegeta[/QUOTE Wanakimbilia mikoa yenye watu wengi kama dar na mwnza kuna mmoja nilikua naongea nae akasema huko kwao ni mapori tupu fursa azionekani ata kwa tochi.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] wanajenga vijijiniHacha dharau kwa kazi za watu. wapo boda na vinyozi wamepiga kazi hadi wamejenga.
Hakuna viwanda huko sio?Dom hamna maisha mnajidanganya na starehe ya ulevi mida Kama hii unakuka wamejazana Bambalaga au Capital hamna cha maana kinachofanyika
Tatizo lilikuwa ufikikaji na umeme ila saizi mambo ni motokigoma yote ni kugumu ndio maana wenyeji wanapakimbia tangu zamani.
Ukiwa na hayo huwezi andika ushuzi kama wako!!! Sasa kuna majukumu gan zaidi ya hayo!?? Hebu niambie wewe unayo yapi zaidi !?? Labda kumridhisha mumeo[emoji23][emoji23][emoji23] we hayo ndio umeona majukumu mazito acha utoto bado hujakomaa
Hajasema ana gari na amejenga, kasema hata akipewa gari na nyumba.......Sasa mkuu hapo kosa lake mbona alipo. kama mtu analo gari asiseme? kama mtu kajenga asiseme??? tatizo ni wivu tu na roho mbaya zimewajaa .acheni watu wafanikiwe kila kiumbe kina njia zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We boya dada zako wamekakamaa kama mang'ati afu wavivu sa ivi utakuta wamejibanza Royal au Capital kuvizia watu wa kuwashughulikia wapate pesa ya dona mle.Ukiwa na hayo huwezi andika ushuzi kama wako!!! Sasa kuna majukumu gan zaidi ya hayo!?? Hebu niambie wewe unayo yapi zaidi !?? Labda kumridhisha mumeo
mna tumia data za mwaka gani wakuuu??Dodoma n kwel kbisa ukame tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafananisha mzunguko wa Pesa za Petrol Arabuni na mzunguko wa pesa za Ubuyu Dodoma mkuu haupo serious
Mjini hafu kujenga sio kugumu kama unavyo fikili bali ni mpangilio tu wote mpaka mafundi cherehani wapo walio jenga town.[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] wanajenga vijijini
Wana umri ganiMjini hafu kujenga sio kugumu kama unavyo fikili bali ni mpangilio tu wote mpaka mafundi cherehani wapo walio jenga town.