Dar es Salaam kwa sababu kuna mafriji na viyoyozi vingi
Mkoa sijui ingawa nimezunguka karibu miji ya mikoa yote ya Tanzania, Ila kwa sehemu ni kileleni mlima Kilimanjaro tena si kwa Tanzania ni Kwa Africa eti. Ukisema Mbeya naweza kusema hapana maana hata Ruvuma kuna kijiji kinaitwa Njombe ni baridi kuliko hata Njombe mjini
Hivi Makambako iko mkoa wa Iringa au Njombe? Nililala Makambako siku moja kitandani wametandika blanket na nikajifunika blanket na nililala na nguo lakini nilikuwa natetemeka kama kifaranga kanyeshewa mvua.
hahahahaaaa hii chumvi imekoleaa mpka nataka kutapikaaIringa Sehem moja inaitwa MAFINGA, UKiamka asubuhi Mlango unaukuta umeganda mpaka uuyeyushe kwa moto ndio unafunguka
Yeah hasa kwa msuguriKimara kuna baridi kuliko sehemu nyingine. hasa waqt wa usiku wa manane
sahihiKwa kawaida Mkoa wote hauwezi kuwa na baridi kutokana na Jiografia ilivyo, lakini kuna maeneo ya mikoa kuna kuwa na baridi kali zaidi wakati sehemu nyingine ni kawaida. Makete ambayo kwa sasa ipo Mkoa wa Njombe ni sehemu yenye baridi kali zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote ya Tanzania kwa uzoefu wangu wa kuizunguka Tanzania hii, kwani kule kuna hadi theluji inadondoka na pia meeneo ya Rungwe, Makambako na Mafinga Iringa!
wanaachaga ndoo ina maji bila kufunika then asubuhi wanakuta barafu.Mkoa wa Njombe wilaya ya makete kuna baridi sana. huwa kuna theluji yaanguka katikati ya mwaka.
Wakinga wanaitwa theluji ing'ala. ukiamka asubuhi unaweza dhania upo antarctica.