Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Wacha uwongo wa kijinga, Lindi wapi kuna njaa?
Mkuu niko lindi Tena uzuri kazi zangu za field nafika sn mabonde yote kuanzia kinyope, rutamba, milola, mavuji, nyengedi, mtua, mnazi, kote mkuu unapohisi wanalima nafika kikazi so nachosema nakielewa
 
Back
Top Bottom