Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

singida kuna vitu vya kienyeji sana hadi mabinti shida uchawi mwingi nafikiri ndio sababu ya maeneo mengi kubaki nyika
 
Njoo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Mara ya kwanza kuona watu wanatumia mbolea za viwandani hata kwenye kulima mahindi basi ilikuwa ukanda huo.

Nikavishika vile vichengachengaa nkajisemea mmh kumbe hii ndo mbolea.

WAkati huo nimetokea zangu Dodoma, tushazoea kutia mbegu shambani na kusubiri neema kutoka juu.
 
Yah ni kweli lakini kwa Mbeya kuna wilaya kama Rungwe ina ardhi nzuri ya rutuba,haina haja sana ya mbolea ya viwandani,ila Mbozi,Ileje wanatumia sana mbolea ya viwandani
 
Tabora ni kitovu cha vitamu.Utapata muhogo,viazi vitamu,mahindi,mpunga,karanga,njugu,kunde,mbaazi,dengu,maharage,mbogamboga za asili kama mrenda,uyoga,nsansa n.k.Upande wa matunda mwitu unapata ntalali,nfulu,mbula,Ndati, ntonga,nsalasi,magogonti,zambalau n.k.Upande wa matunda ya kawaida unapata embe Bolibo,embe dodo,embe sindano,embe kunguni,Pera,papai ni.k.
Karibu sana.
Mkuu uko sawa! Nimesoma Milambo sec.school enzi za Mwalimu nimeshuhudia na nimekula vyakula hivyo sana.
 
Back
Top Bottom