Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

😆😆Ingekua ni jangwa wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Karanga,Mtama,Uwele,Rosella,Tende,Ufuta,Mbaazi n.k.
-Umewahi kusikia soko la kimataifa la Mahindi+ nafaka Kibaigwa
Mazao ukiyotaja yote ni mazao yanayolimwa semehu yenye nusu jagwa.
 
Rafiki, tatizo la Dodoma na Singida si ardhi yake bali ni upatikanaji wa mvua, na hali ya hewa yake kwa ujumla. Ardhi ni nzuri sana.

Mi mpaka nakua mkubwa kijijini kwetu Singida sikuwahi ona chochote kikilimwa kwa kutumia mbolea, na yield ni yakutosha.
Kumbe ni wasingidani !.. hongera sana.. Japo toka nisikie vijiji vyenu ni makao makuu ya nyoka. Stimu ilikata kabisa hata kupatembelea 😁
 
Rafiki, tatizo la Dodoma na Singida si ardhi yake bali ni upatikanaji wa mvua, na hali ya hewa yake kwa ujumla. Ardhi ni nzuri sana.

Mi mpaka nakua mkubwa kijijini kwetu Singida sikuwahi ona chochote kikilimwa kwa kutumia mbolea, na yield ni yakutosha.
Kama inapitia vipindi virefu vya mapumziko bila kulimwa kwa ukosefu wa mvua , lazima ardhi iwe na rutuba , sehemu nyingne zinazotumia mbolea ya kuwekwa unakuta linalimwa hata kwa mwaka mara tatu kama kilimanjaro , ardhi haina mapumziko lazima uongezee mbolea ya mifugo kidogo .
 
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Dodoma hasa Kondoa bado vitu ni vya asili hata ukila ugali wa mahindi wa Kondoa ni tofauti sana na maeneo mengi.
 
Back
Top Bottom