Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jun 24, 2024 #101 Ms R said: nmewahi mara moja tu zote mbili,,ila huku ndo kinaraπ Click to expand... πππ
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Jul 7, 2024 #102 ndege JOHN said: Mmh Sidhani mbona me niko lindi naona jau tu Click to expand... Wacha uwongo wa kijinga, Lindi wapi kuna njaa?
ndege JOHN said: Mmh Sidhani mbona me niko lindi naona jau tu Click to expand... Wacha uwongo wa kijinga, Lindi wapi kuna njaa?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 8, 2024 Thread starter #103 Mkereketwa_Huyu said: Wacha uwongo wa kijinga, Lindi wapi kuna njaa? Click to expand... Mkuu niko lindi Tena uzuri kazi zangu za field nafika sn mabonde yote kuanzia kinyope, rutamba, milola, mavuji, nyengedi, mtua, mnazi, kote mkuu unapohisi wanalima nafika kikazi so nachosema nakielewa
Mkereketwa_Huyu said: Wacha uwongo wa kijinga, Lindi wapi kuna njaa? Click to expand... Mkuu niko lindi Tena uzuri kazi zangu za field nafika sn mabonde yote kuanzia kinyope, rutamba, milola, mavuji, nyengedi, mtua, mnazi, kote mkuu unapohisi wanalima nafika kikazi so nachosema nakielewa