KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Utapeli mkubwa kabisa nchii hii kuwahi kutokea... umaanisha ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine?
Hakuna sheria ya machinga na kitambulisho cha elfu 20 katika Sheria za Kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli mkubwa kabisa nchii hii kuwahi kutokea... umaanisha ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine?
Wengine wanaenda kuchukua fungu za Nyanya Sokoni kwa mkopo wanakuja kuuzia mbele ya fremu za watu, sasa hao hawalipi hata ushuru wa soko, ukisema uwapangie sehemu maalumu wanasema huko wateja hawaji.Kubaki mjini sio shida
Ila wakae sehemu rasmi
Na sehemu rasmi ni kwenye fremu husika
Iwe ya serikali ama private
Uwe mmoja ama kikundi
Masokoni kuna vizimba viko waziWengine wanaenda kuchukua fungu za Nyanya Sokoni kwa mkopo wanakuja kuuzia mbele ya fremu za watu sasa hao hawalipi hata ushuru wa soko ukisema uwapangie sehemu maalumu wanasema huko wateja hawaji.
Hadithi hii inatufundisha nini!!Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Wanasiasa wanawadekezaHivi hawa machinga wanajiamini nini??
Uache kukariri upumbav. Bangi ni personal issue.. si kila.mtu anavutaArusha bang Sana kila mtu anatumia
USSR
Machinga wako wengi ... hapa kuwatuliza sio kwa kutumia nguvu kutatokea madhara sana ukichukulia-fact kwamba Rais aliyeenda zake aliwa-favour ... serikali ikitumia tu nguvu ijiandae na chaos inaweza i-spread nchi nzimaNaona machinga wanacheza na nguvu za dola...
Machinga wapangishe fremu maisha yaendelee
Wala hamna nguvu ni piece by pieceMachinga wako wengi ... hapa kuwatuliza sio kwa kutumia nguvu kutatokea madhara sana ukichukulia-fact kwamba Rais aliyeenda zake aliwa-favour ... serikali ikitumia tu nguvu ijiandae na chaos inaweza i-spread nchi nzima
Yaani watu sijui wanawazaje inaweza ikawa ndiyo njia ya chaos ambayo haujawahi kutokeaMachinga wako wengi ... hapa kuwatuliza sio kwa kutumia nguvu kutatokea madhara sana ukichukulia-fact kwamba Rais aliyeenda zake aliwa-favour ... serikali ikitumia tu nguvu ijiandae na chaos inaweza i-spread nchi nzima
Naona Lile gang la wafanyabiashara na mafisaci limejipanga kweli kipropaganda kwa kueneza uzushi wa kinachodaiwa ubaya wa machinga kwamba wasifanye biashara mitaani...haya endeleeni na propaganda hizo kwani kikinuka propaganda hizo mtazifanya mkiwa uvunguni mwa vitanda...Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Nguvu kwa Wamachinga, kwa CHADEMA ukiukwaji wa haki za binadamu!!!! Hili tatizo la Wamachniga halikuianzia kwa Magufuli. Hili lianza siku za nyuma na likawa linakuwa mpaka pale walipohalalishwa na Magufli. Wamachinga walianza wakati sijui wa Mkapa au Mwinyi na huenda tangu wakati wa Nyerere. Walianza kwa kutembeza mitumba. Pale soko kuu la Kariakoo walikuwepo wapangaji wa nyanya pembeni mwa soko tangia miaka ya 70. Wale waliendelea hadi wakafunga barabara moja inaypotoka sokoni na kuunga ile itokayo Mnazi Mmoja (sijui ndiyo mtaa wa Congo..sina hakika maana nina miaka mingi sitembei Dar).Wanasiasa kama Ummy Mwalimu ndo wanakwamisha utoaji wa machinga kwenye maeneo mbalimbali. Njia pekee ya kuondoa wamachinga ni kutumia nguvu tu!
UjingaHapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Watawahamisha tu lakini sio kua ONDOA ...Yaani watu sijui wanawazaje inaweza ikawa ndiyo njia ya chaos ambayo haujawahi kutokea
Maana hao machinga ni wengi sana yaani ni wengi