Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

Wewe ni mwongo sana.
Kwa ngulelo stendi hakuna maduka wala hakuna wamachinga walioweka biashara zao mbele ya maduka ya watu.Ngulelo gani wewe unayoisemea?
 
Duuh tatizo linazidi ongezeka aisee , hapa walaipofikia hawa machinga sipo aisee
 
Rc John kaza buti toa hawa watu mabarabarani. Enough is enough
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…