Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Kwa kila sehemu kuna maeneo viwanja pia ni bei rahisi sana tu kwa mfano kwa mrombo viwanja watu wamenunua 10*10 mpaka laki tano kisongo pia heka mpaka muda huu kuna maeneo ni sh 7000000 sasa unafikiri arusha maeneo yote yana bei? Nyie vijana wa arusha mjaribu kutembea mikoa mingine mtajifunza kitu

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuifananisha Arusha na Kaha Mkuu kuifananisha Arusha na Kahama siyo sawa hata Kidogo,huenda uliishia maneno ya Uswahilini
 
Mkuu inamaana miaka 5 inatosha Karatu au Kahama kuipiku Arusha kama zikipewa attention?
Hivi mkuu umeshakwenda pale Halmashauri ya jiji wakakuonyesha mipango ya mji kama Bondeni City nk
Sasa yeye amezungumzia Arusha City au amezungumzia Arusha Region!!

Ukitoa miji ambayo tayari imeshaipita Arusha City, hususani Dar es salaam, sioni mji mwingine wenye potential ya kuipita A-town!
 
Mimi sijasema zinafanana ila ukiangalia mzunguko wa kahama inakaribia kwa karibu sana mimi arusha ni kwetu na nimesha dalali wa viwanja kwahiyo naijua arusha kuliko unavyo dhani wewe arusha pangekuwa pamepimwa pangekuwa pazuri sana lakini ukienda sakina barabara magari hayawezi kupishana sasa hujaenda ngulelo kama unaenda oldadai au kama unaenda sorenyi sekondari mvua ikinyesha watoto hawaendi shule

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Nimepata bahati ya kutembea hii nchi bado ukanda wa Meru ni mahali bora kabisa pa kuishi hapa nchini.

Mleta mada amenisikitisha mno kwa kukosa busara.

Sipendi tu kumshambulia kwa maneno maana maneno ya kibaguzi na chuki hajana faida yeyote.

Ukitaka tuchambue mkoa baada ya mkoa kuna watu watakimbia hapa maana umaskini nchi hii umekithiri mno hata hapa Dar unaweza sema watu wana uwezo ila ukweli ni kwamba majority ya watu hawana uhakika na vipato vyao.

Kwa kutambua hilo ndio maana Awamu ya tano haikukubaliana na swala la Lock down kipindi cha Korona.
 
Umeongea kwa busara sana. Utasikia mtu anajitapa kuwa anaishi Dar, Ukimfuatilia maisha anayoishi yanasikitisha sana. Hata kule vijijini wana maisha bora kabisa.
 
Mikoa yote kwa sasa inajitahidi sana kwa maendeleo sio kama miaka ya nyuma.
 

We unaota au uko macho? Nyie ni wa kuwaacha na maujinga yenu. We Arusha huijui. muonage aibu kufananisha vijiji na jiji. Nani kawaloga?
 
Naona mnaendeleza kampeni ya chuki dhidi ya Arusha. Watu mnajua kabisa sababu ya maendeleo mahali fulani ni serikali halafu mnakaa kupondea mkoa. Ok mfano ujenzi wa fly overs train ya umeme zilizopita Dar unafikiri Arusha au mikoa mingine nao hawapendi? It is just a matter of priorities and time. Think out of the box
 
Wapi sehemu nyingine iliyopimwa hapa Tzn zaidi ya Dom?

Mkishakula michembe na maji yenye zebaki mnaropoka tuu.
 
Kwa Mkoa wa Mbeya na Songwe,hakuna Wilaya za kipuuzi
 
Arumeru kuko kama Uchagani.
Wanajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…