Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Achana na hadithi za kupumbavu na za kitaahira. Mikoa yote imeanzishwa kwa kimegwa mikoa mingine.

Hakuna mkoa wa kabila flani nchi hii.

Kama mkoa wa Chato utaanzishwa utaanzishwa tu na wilaya za mikoa mingine, mtu atake asitake.
Naunga mkono hoja yako. Imeandikwa wapi Muleba lazima iwe Kagera?
 
Magufuli alikuwa mbinafsi na chuki kubwa dhidi ya wahaya kwa sababu ya historia yake yenye utata. Nashangaa watu wanaojiita viongozi kuendeleza upuuzi wa marehemu wakiamini anawaona na anafurahia akiwa kaburini
 
Kwa upande mwingine chato kuwa Mkoa mpya sioni tatizo ... kiutawala kwa maana Tanziania yetu itabakuwa moja. Kwa legacy ya magufuli ingependeza tuu. Kwa maana chato kutoa Rais... tuipe kipaumbele ya kuwa mkoa kwa kumuenzi hayati Magufuli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini cha ajabu chema alichofanya Magufuli? Butiama haijawa mkoa, kule kwa RIP Mkapa hakujawa mkoa. Msoga kwa Kikwete hakujawa mkoa. Halafu kijijini kwa kiongozi katili uwe mkoa kwaajili ya kumuenzi.

Wanaoenzi ukatili, wakitaka wabadilishe majina yao ya pili kuwa jina la marehemu. Hapo watakiwa wamemuenzi vizuri maana atatajwa kila siku.
 
Mkuu usipotoshe kutoka Geita Mjini(makao makuu ya mkoa wa Geita )
Kwenda chato ni Zaidi ya 110km lakini kutoka Geita hadi Mwanza Mjini ni 100km ukitaka kujustify hoja yako kuwa na uhakika na ulisemalo kwa kutafuta taarifa sio kulisha watu matango pori
 
Achana na hadithi za kupumbavu na za kitaahira. Mikoa yote imeanzishwa kwa kimegwa mikoa mingine.

Hakuna mkoa wa kabila flani nchi hii.

Kama mkoa wa Chato utaanzishwa utaanzishwa tu na wilaya za mikoa mingine, mtu atake asitake.
Kuna viumbe wajinga sijawahiona, yaan tibaijuka kwa vile yy mhaya hataki kupelekwa chato, avhilia 36km mkoa km morogoro ukitokea kilosa kule ni zaidi ya 50km na bado ni mkoa mmoja, simiyu makao makuu kutoka hapo hadi itilima kule mwisho kanadi ni km karibu 100ila bado mkoa mmoja simiyu ilimegwa toka shy, kutoka bariadi to shy ni 160km. So tibaijuka ukiona umeonewa hama muleba, professor kama darasa la saba
 
..ni suala ambalo halina mantiki.

..lakini sidhani kama Maza ana uwezo wa kulikataa.

..ndio maana nikapendekeza compromise ya kuunda mkoa wa Chato bila kumega Kagera.

..solution nyingine ni kubadili jina la mkoa wa Geita uitwe Chato.
Pole sana, Geita iitwe Chato ?
 
..nadhani MARIDHIANO ni mkoa wa Chato uundwe kwa kumega mikoa jirani isipokuwa mkoa wa Kagera.

..katika hali hiyo wanaolilia kuundwa kwa mkoa wa Chato watakuwa wamepata.

..Na wasiotaka mkoa wa Kagera umegwe nao watakuwa wamepata.
Kwani kagera ni uganda
 
Magufuli yupo mioyoni mwetu, ni jasiri, ni mzalendo, ni mkombozi wa africa, safaka yake ni takatifu kwa Mungu na kwa wanadamu
 
John Chenge alipigania na Alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao BARIADI ukaitwa Mkoa wa SIMIYU aliimega Mwanza na Shinyanga.

Edward Lowasa alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao MANYARA aliiimega Arusha.

MIZENGO PINDA alianzisha Mkoa wa Nyumbani kwao KATAVI aliiimega RUKWA.

Njombe ilianzishwa kwa Mkoa wa Iringa kumegwa. Mikoa yooote hii imeanzishwa 2012 au kabla.

Mkoa wa CHATO ili nao uanzishwe sharti mikoa jirani ya Geita na Kagera imegwe kwani siyo jambo geni halijaaanza leo wala jana. Pia MAGUFULI siyo Kiongozi wa kwanza kuanzisha Mkoa kwenye eneo alikozaliwa. Nimeweka Viongozi wengine hapo juu ambao wameanzisha Mikoa mipya kwenye maeneo walikozaliwa.
Tunapoijadili CHATO Tuangalie utimilifu wa vigezo vya kuanzisha mkoa bila kujali MUASISI, KABILA wala Ushabiki wenye mihemko vinginevyo hatujadili hoja bali viroja.
 
wewe mtu uko kagera na unaishi kagera,Sasa ya chato yanakuwashia Nini !!??,si umalaya huu ambao mwal.nyerere alisema ,wanasiasa wenye tabia za umalaya..umalaya !!
 
wewe mtu uko kagera na unaishi kagera,Sasa ya chato yanakuwashia Nini !!??,si umalaya huu ambao mwal.nyerere alisema ,wanasiasa wenye tabia za umalaya..umalaya !!
Unaweza kuutaja Mkoa wa Chato bila kuigusa Kagera??? Basi anzisheni huo Mkoa mpya bila kuigusa Kagera.
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato ana kesi ya kutoa rushwa na uvuvi haramu, halafu wasukuma sio wasomi, unachanganyaje wasomi na wachunga ng'ombe
 
mema gani aliyoyatenda?
 
Ikiwezekana hata hiyo Halmashauri ya wilaya ya chato ifutwe kabisa, waache nongwa
 
..Mwenyekiti Halmashauri ya Chato.

Kakonko iko mkoa wa Kigoma, inahusishwa vipi na huo mgogoro wenu wa ukabila? Anzisheni Mkoa wa Chato bila kuimega Kakonko kwa sababu hakuna vikao vilivyoridhia mkoa wa Kigoma kumegwa.🤔
 
Hawa wanatapatapa tu, undeni Chato yenu iwe mkoa bila kuzigusa mikoa mingine. Tafuta clip ya JPM (RIP) akiwa Tunduru alafu mheshimiwa diwani na wewe utuletee hiyo aliyotoa ahadi hapo Chato iwe mkoa. Kwanza Chato ina hadhi gani ya kuwa mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…