Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

Fomu ya mwenyekiti ccm kwnn huwa mnatoa moja tu???
Kama ni hivyo mwenyekiti CCM angekuwa mmoja kuanzia mwaka 1986.... sisi by the way katiba yetu inataja wazi kuwa atakaye teuliwa na chama kwa unafasi ya ugombea urais ndiye mwenyekiti wa chama... kwa hiyo kinyang'anyiro cha kumpata rais huwa kinyang'anyiro huru cha kumchagua mwenyekiti wa chama.
Any way najua hujanielewa... inamaana nyie mnatuiga????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…