Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

Mbona Mbowe ni kibaraka wa Ccm au nalo ufahamu?

Heche , Mbowe, Makene ,Salim Mwalimu

Uzuri Chadema unaongoza mbumbumbu

Katambi , Dkt Slaa, Mashinji, mbona tuliwaonya kitambo mkajitoa akili
Kuikataa ccm basi unaonekana kuwa wewe ni mbu mbu mbu na mkimbizi.Ujinga uliopindukia.
 
Erythrocyte angalia wasipenyeze vibaraka wa CCM kama Katambi. Hili ni la Muhimu sana tena sana!
Ni chama gani cha siasa hapa Tz ambacho hakijapenyezewa mamluki??

"Wana-CCM wenzangu msiwe na wasiwasi na huyo Mrema anayebebwa bebwa na Wananchi huko mitaani, mwacheni abebwe. Nimewatuma marafiki zangu ili waende wakahamasishe upinzani, kwa hiyo msiwe na wasiwasi, CCM lazima itashinda tu kwenye Uchaguzi huu."

Mwl. J. K. Nyerere, alitamka maneno haya kwenye hotuba ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa Siasa za Vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995, wakati alipokuwa akimnadi Mgombea Urais wa CCM, Benjamin W. Mkapa.
 
Myovela ndiye ameanza kuchukua fomu, Japo kuna tetesi kwamba wagombea kadhaa wenye ushawishi washatia nia

Hebu ngoja Tusubiri hadi mwisho

View attachment 2941226
hapo sasa,
aliechukua fomu ni yupi na alie sababisha makosa katika kupeana mikono iliyokatisha kwenye fomu kwakat wa kupiga picha ni yupi 🐒

mfundishane basi ndrugu zango wa mihemko 🐒
 
Back
Top Bottom