Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

Mkoa wa Iringa hapatoshi, Mchuano wa Wagombea wa Uongozi wa CHADEMA unatisha

Mbowe hajawahi kuwa mhasibu wa Chadema
Uhas8bu nini kitu gani ? Kuwa na sauti na kutia sahihi na kuidhinisha pesa itoke ndipo penyewe ambapo Mbowe kashika
Mhasibu hana uwezo wa kuidhinisha pesa itoke .Mbowe ndio mwenye pande hiyo.Kuingia zinaingia kwa mhasibu kutoka zinatokea kwa Mbowe
 
Mbowe si mjumbe wa baraza la wadhamini , hao ndio wenye mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya pesa za Chadema .

Kama hujui haya mambo ni vema ukafunga mdomo .

Kingine ni hiki , Mbowe si kapuku wa kutegemea hela za Chadema , ukitaka kuthibitisha hili mwamshe jiwe na muulize kwamba alipofunga akaunti za Mbowe ilikuwaje
 
Kujenga hekala kule Machame ,huku vijana akiwaminisha kuwa ni makamanda🙆‍♂️🙆‍♂️
Ulitaka ajenge nyumba za matope kama zile za Shinyanga,Singida na Dodoma ndiyo uone kuwa Mbowe ni mzalendo?
 
Back
Top Bottom